Uwazi na Ukweli
Hayo yalikua maneno ya Mzee nkapa, tutamkumbuka kwa sera yake ya ubinafsishaji japo aliuza bei sawa na bure kuanzia viwanda, migodi tukasamehe
Ajabu sasa la kwenye Gesi ya Mtwara ndio yaliko maajabu maana wenye gesi hawamiliki hata asilimia moja ya ile gesi wale wana mtwara walikua na haki ya kukataa uporaji ule wa mchana kweupe.
Sasa mikataba ya gesi na bandari ya bagamoyo hawatokuja kuiweka wazi na vile na bungeni yupo job anaevizia kupambana na ulimwengu yaani job yeye hapambanii rasilimali za nchi size yake ni assad na ulimwengu hao anawamudu kusema wajadili kwa uwazi mikataba ya kimangungo ambayo itaumiza vizazi vijavyo vya watanganyika hutomsikia.
CCM kama mnajiamini wekeni wazi mikataba hiyo muone dunia itakavyowacheka mchana kweupe, msipindishe maneno maana mmekua madalali kwa bei rahisi za rasilimali zetu.