Siku Mikataba ya Gesi ikiwekwa wazi na Mikataba ya Bandari ya Bagamoyo huenda Rais Mstaafu Kikwete akachukiwa sana

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,885
28,246
Uwazi na Ukweli

Hayo yalikua maneno ya Mzee nkapa, tutamkumbuka kwa sera yake ya ubinafsishaji japo aliuza bei sawa na bure kuanzia viwanda, migodi tukasamehe

Ajabu sasa la kwenye Gesi ya Mtwara ndio yaliko maajabu maana wenye gesi hawamiliki hata asilimia moja ya ile gesi wale wana mtwara walikua na haki ya kukataa uporaji ule wa mchana kweupe.

Sasa mikataba ya gesi na bandari ya bagamoyo hawatokuja kuiweka wazi na vile na bungeni yupo job anaevizia kupambana na ulimwengu yaani job yeye hapambanii rasilimali za nchi size yake ni assad na ulimwengu hao anawamudu kusema wajadili kwa uwazi mikataba ya kimangungo ambayo itaumiza vizazi vijavyo vya watanganyika hutomsikia.

CCM kama mnajiamini wekeni wazi mikataba hiyo muone dunia itakavyowacheka mchana kweupe, msipindishe maneno maana mmekua madalali kwa bei rahisi za rasilimali zetu.
 
Malipo ni hapa hapa Duniani. Nchi iliyojaa wapumbavu na wapuuzi.

Mzindakaya yuko wapi na wengine watafuata tu, Mungu wa kweli yupo,na daima atakuwepo.
 
Mleta mada umebahatika kuuuona huo mkataba au nawewe umesimuliwa?

Jf kila mtu n mchambuzi anajua Siri za nchi

Japo sjauona huo mkataba ila nachoamini hakukuwa na uadilifu wakat wa kusain huu mkataba

Nn kifanyike wabunge na wananch tushinikize tuuone huu mkataba tujue ukwel Kwan ges n Mali yetu na hao waliosaini n wawakilishi tu sio wamiliki

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Haiwezekani toka 1960 tuko uchumi usio na uhakika pamoja na rasilimali zote zilizopo halafu useme kuna waadilifu hakuna hicho kitu, position ya Tanzania ilipo Mungu alitupendelea lakini wakoloni weusi ccm wanatuangusha porojo kila leo, bado wanazindua madarasa na vyoo
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom