Siku MAgufuli akikabidhiwa uenyekiti, Hapata kalikaa, nitajiunga na chama

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,055
Naweka kumbukumbu sawa.

Sura halisi ya John itajulikana pale atakapo kabidhiwa chama. Nawaonea huruma kundi kubwa ndani ya chama ambalo limefisadi nchi hii kwa kipindi kirefu.

Sipati picha jinsi anavyotunisha misuli kipindi hiki ambacho hana wadhifa wowote ndani ya chama.

Naisubiri hiyo siku kwa hamu, siku ambayo nami nitakuwa mwanachama wake mpya.
 
Watu wakikumbushwa kuwajibika kuna ubaya gani. Usipojiunga bado ccm itabaki na wenyewe.
 
Back
Top Bottom