Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,869
- 7,477
SahihKwahyo mkuu unatumiwq kama sex machine
Uko wapUongo.
MikambaKamba kamba kamba...
Ha ha haMkuu Muuza Viat umenikumbusha ile kusoteshwa na demu mahali halafu hatokei kabisa eneo la tukio, five hours later baada ya we kusepa unalala huku ukiendelea kujifariji kuwa huenda atakupigia, ukiona sms au call unahisi ni yeye lakini wapi. Unala umefura kwa hasira unajisemea kuanzia leo mi na yeye basi. Halafu kesho yake anakubip na wewe bila ajizi unapiga halafu unaomba tena muonane as if Jana hukurushwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ha ha
Nilishawah nunulishwa chips kuku yai na mirinda nyeus ya bardiiiiiii
Baada ya kufika kwenye geto la mhusika nikiwa na mfuko wangu wa kiepe piga simu km mara mia simu haipokelew na dirishan taa inawaka huku pazia limeshushwa na mziki kwa mbaaal nausikia
Kwenda kugonga mlangon nikahofu kufumania
Nikaona isiwe tabu nikaondoka zangu nikiwa na majazba km yote
Na siku ya pili yake nikalaumiwa mim kwa kushindwa kutimiza ahad
Balaaaaaaisee
Sis timu Samson hatunaga nongwa na wale watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama nakuona ulivyokuwa unam-'please', na kuomba appointment tena, as if umekosea wakati yeye ndo alipaswa ku- 'apologise'.Ha ha ha
Nilishawah nunulishwa chips kuku yai na mirinda nyeus ya bardiiiiiii
Baada ya kufika kwenye geto la mhusika nikiwa na mfuko wangu wa kiepe piga simu km mara mia simu haipokelew na dirishan taa inawaka huku pazia limeshushwa na mziki kwa mbaaal nausikia
Kwenda kugonga mlangon nikahofu kufumania
Nikaona isiwe tabu nikaondoka zangu nikiwa na majazba km yote
Na siku ya pili yake nikalaumiwa mim kwa kushindwa kutimiza ahad
Hatar sana[emoji41][emoji41][emoji41]Kama nakuona ulivyokuwa unam-'please', na kuomba appointment tena, as if umekosea wakati yeye ndo alipaswa ku- 'apologise'.