Siku kama ya leo huwezi kuona comments za Ritz, Rejao, Pasco na matatutapu wengine

Tujulishwe mkuu Kama ha MODS uliowataja wako kwenye payroll ya Chadema, itaturahishia kazi.

Hawa walitaka kuaminisha wana Jf kuwa bila wao huku mijadala haiendi na wanauwezo wa kuchafua hali ya hewa watakavyo.Mungu akasikia kilio cha wanaJF dhidi ya hili kundi akawatuma watumishi wake aka Mods.Basi wakapata haki yao kwa sasa ni wageni wa kawaida tu humu.JK akiondoka madarakani watapata msamaha wake,tuzidi kuwaombea
 
Back
Top Bottom