Naam,umesema kweli kabisaa...kuna mfanyabiashara mmoja alinambia "confessor ukitaka kutoka kibiashara nenda mahali tofauti na nyumbani/eneo ninaloishi,wengi watakuangusha ukiwa eneo hilo na nabii siku zote hakubaliki kwao" kweli kabisaa hayo niliyaona...kuna wakati nilikuwa na biashara ya pesa(tigo,airtel,mpesa)nyumbani kabisaa aisee nilipata tabu sana watu wanakuja kukukopa wengine majirani zako wa miaka nenda rudi,mtu anakulilishia shida kibinadam unaona kweli ngoja nimuazime na hivi ni wa hapahapa hawezi kunikimbia,shida inakuja kwenye kulipana anakuambia nitakupa wiki ijayo au siku flani jamanii jamanii......acha kabisaa kuna muda unnyoosha mikono juu unasema baba ahsantee na wengine ni ndugu kabisaaa na ukifunga/biashara ikifa maneno yanaaza ooh kafilisika hakuna biashara pale,.wanasahau haohao ndio wamekutia hasara..
Na nilipoamua kupiga hatua kutoka nyumbani niliona utofauti..na nilikuwa huru zaidi..