Basi bwana! Haya ya nyuma yalichunguzwa na watu wakawajibika. Kwanini haya hayachunguzwi? Kwanini CCTV zilitolewa baada ya Lisu kupigwa risasi.... ukisema ushahidi, muuaji huwa anatumia kisingizio cha leta ushahidi kukwepa adhabu!Sina hakika unataka kusema nini? Mauaji ya sasa serikali inahusika vipi...leta ushahidi hapa kuhusu namna serikali inavyohusika na mauaji...Je, wale vijana wa madini hukumbuki kuwa polisi walidaiwa kuhusika na ambapo senior police officer alifikishwa mahakamani? Je, mauaji ya operesheni fulani iliyofanyika huko Shinyanga na watu kadhaa wakateswa na kufa na hata Waziri wa mambo ya ndani wakati huo kujiuzulu (ambapo baadaye alikuja rais ) je serikali haikuhusika hapo? Tuwe wakweli katika mambo haya....ni mauaji gani yamefanyika katika awamu hii ya JPM na kama yapo ni ushahidi upi unathibitisha kuwa serikali inahusika? Ni demokrasia gani hiyo imeminywa?
Mkuuu shiiiiiiiii .! !!!! Kuna wasiojulikana humu .hata huyu jamaa nina wasiwasi naye sana,kipindi anaingia alisema watu wameficha pesa ndani eti atachapa pesa mpya.
Basi bwana! Haya ya nyuma yalichunguzwa na watu wakawajibika. Kwanini haya hayachunguzwi? Kwanini CCTV zilitolewa baada ya Lisu kupigwa risasi.... ukisema ushahidi, muuaji huwa anatumia kisingizio cha leta ushahidi kukwepa adhabu!
Kweli Magereza walikosa gari la kuwaleta Mbowe mahakamani? Kuwa mkweli na utakuwa huru. Nina uhakika wewe una madaraka serikalini, rekebisha haya mambo.... demokrasia ya kutoa maoni, kukosoa haipo, jaribu kusema rais hana mamlaka ya kutumia pesa kujenga uwanja chatobila idhini ya bunge kama hutatoweka leo leo... mambo kama hayo! 1954, wewe ni mtumzima sana, una madaraka, rekebisha pale watu wanapopalalamikia! Maaskofu ni wapenzi wazuri wa JPM, lkn wameona kasoro wamejitenga! Nao ni hopeless, ?
Kwa sisi wazee wa zamani yaani vijana wa miaka ya 1978 ambao bado hadi sasa hivi tupo hai nashukuru alhamdulilahi Bakwata.
Tuliona jinsi Idd Amin alivyoingia madarakani kwa mapinduzi na kushangiliwa kama mkombozi wa waganda,baadae alianza kuboronga ile mbaya,viongozi wa dini na wanaharakati walipoanza kumkosoa wakaanza kupotea na kuuawa hovyo.
Uchumi ulizidi kuporomoka ,siku moja Idd Amin akamwita gavana wa benki kuu na kumuuliza kwa nini uchumi unaporomoka hivyo,gavana akajibu ni kwa sababu ya inflation,Idd Amin akasema mkamateni inflation haraka.
Madikteta huwa hawana akili timamu ndo sifa yao kuu.
Lakini WAGANDA wao wanasema Idi Amini aliuondoa umiliki wa uchumi toka kwa Wageni na kuumilikisha kwa WaGanda.Nenda Uganda utaliona hilo. Wageni wanaokuja ni wale wawekezaji wapya sio wale wanaodai wamezaliwa humo.usimcheke Amin ukiwa Uganda.Kwa sisi wazee wa zamani yaani vijana wa miaka ya 1978 ambao bado hadi sasa hivi tupo hai nashukuru alhamdulilahi Bakwata.
Tuliona jinsi Idd Amin alivyoingia madarakani kwa mapinduzi na kushangiliwa kama mkombozi wa waganda,baadae alianza kuboronga ile mbaya,viongozi wa dini na wanaharakati walipoanza kumkosoa wakaanza kupotea na kuuawa hovyo.
Uchumi ulizidi kuporomoka ,siku moja Idd Amin akamwita gavana wa benki kuu na kumuuliza kwa nini uchumi unaporomoka hivyo,gavana akajibu ni kwa sababu ya inflation,Idd Amin akasema mkamateni inflation haraka.
Madikteta huwa hawana akili timamu ndo sifa yao kuu.
Mmmmh kwanza kabisa sina mamlaka yoyote yale serikalini...Hivi ni mauaji gani ambayo kwa sasa hayachunguzwi? Mimi naamini kama yapo mauaji yamefanyika polisi wanayafanyia kazi...Bunafsi huwa sipendi kuzungumzia suala la Mhe. Tundu Lisu..suala hilo lina utata mkubwa naishia hapo...ni suala sensitive na ambalo lina mwelekeo wa kisiasa and some people are trying to capitalize on that...naishia hapo...tuviachie vyombo vya dola....Hilo la uwanja sijui wa Chato nalo ni issue??!! How? Yaani watu wa Chato hawasitahili kuwa na uwanja? Na mipango ya ujenzi ilianza lini? Na assuming uwanja huo unajengwa strategically kwa mambo fulani fulani ya kiulinzi na usalama, nasema assuming kwani sijui...hivi tumefikia mahali kuhoji kama mradi huo haustahili na eti ni lazima uthibitishwe na Bunge? How?! I beg to differ..anyway hebu niliache hili...Ila kiukweli kwa maoni yangu JPM anafanya kazi nzuri sana...Ni patriot wa uhakika...ni mzalendo halisi...he has this country at heart...Namuunga mkono JPM, mapungufu yapo lakini hayako katika hicho kinachodaiwa kuminywa kwa demokrasia au mauaji..never....
una umri gani? unaongea unachokijua? Umezaliwa lini? where Were you in 1971?Lakini WAGANDA wao wanasema Idi Amini aliuondoa umiliki wa uchumi toka kwa Wageni na kuumilikisha kwa WaGanda.Nenda Uganda utaliona hilo. Wageni wanaokuja ni wale wawekezaji wapya sio wale wanaodai wamezaliwa humo.usimcheke Amin ukiwa Uganda.
Hata akikupa wasifu wa hao hakuondoi ukweli kuwa wengi walikuwa "shuleless"!
Kwanza sijawahi kusikia mtu analilia Mbowe kuwa raisi. Labda uthibitishe!.
Pili Mbowe yujo hapa siku zote tunamwona, ameshafanya kituko gani kinachothibitisha kwamba ni idiot?
Bashite amethibitisha idiocy kwa kila kitu ikiwemo kugushi vyeti, na kuona hana uwezo wa kujenga hoja, hana ushawishi basi akaamua kuendesha maisha yake kwa uharifu.
Tofautisha na oanisha haiba na aina ya uongozi wa Iddi Amni, Jacob Zuma, na Magufuli, ukitetea hoja yako kwamba elimu ina uhusiano wa moja kwa moja na aina/uwezo wa uongozi.
Hawa wote uliowataja walikuwa tishio na wengine walijiengea mpaka international airports zao vijijini, lakini wako wapi wamepita kama watakavyopita na wengine.
U DICTATOR ni hulka si swala la elimu. Tumeongozwa Tz hapa na Mzee Mwinyi alikuwa na diploma tu ya ualimu lakini hakuwa dictator!!! U dictator pia unaletelezwa na watu wanaokuzunguka (wapambe) hasa kama wanafaidika nao.
Wewe ni zero kichwani. Serikali ya awamu ya 5 hairudi nyuma, lazima wote mtiwe adabu hasa ninyi mawakala wa shetani mzungu na fisadiKwa sisi wazee wa zamani yaani vijana wa miaka ya 1978 ambao bado hadi sasa hivi tupo hai nashukuru alhamdulilahi Bakwata.
Tuliona jinsi Idd Amin alivyoingia madarakani kwa mapinduzi na kushangiliwa kama mkombozi wa waganda,baadae alianza kuboronga ile mbaya,viongozi wa dini na wanaharakati walipoanza kumkosoa wakaanza kupotea na kuuawa hovyo.
Uchumi ulizidi kuporomoka ,siku moja Idd Amin akamwita gavana wa benki kuu na kumuuliza kwa nini uchumi unaporomoka hivyo,gavana akajibu ni kwa sababu ya inflation,Idd Amin akasema mkamateni inflation haraka.
Madikteta huwa hawana akili timamu ndo sifa yao kuu.
Gaddafi alikuwa muhitimu was chuo kikuu na alikuwa dikteta
Akikupa wasifu wa hao naomba na wewe unisaidie wa hawa..
Thanks
- George Washington
- Abraham Lincoln
Wewe ni zero kichwani. Serikali ya awamu ya 5 hairudi nyuma, lazima wote mtiwe adabu hasa ninyi mawakala wa shetani mzungu na fisadi
Amin aliishia darasa la pili! Mbowe form Six, Font fedi ana PhD... who is better?