Hakika mkuuWanaume tuliongoza kwa vijiwe vya story za kuchekesha msiban, Ila Saiv tunalia mpaka tunazimia
MF. Huyu nkuu nkohoa wa makonda
Analialia sana mara yeesuuuu uwiiii
Aaaah shame on us.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kaokoka, walokole kulia ndio zao. Alipo takiwa aonyeshe cheti alilia hadi kamasi sembuse msiba.Wanaume tuliongoza kwa vijiwe vya story za kuchekesha msiban, Ila Saiv tunalia mpaka tunazimia
MF. Huyu nkuu nkohoa wa makonda
Analialia sana mara yeesuuuu uwiiii
Aaaah shame on us.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia inaenda kasi sana ,zamani wanaume kazi yao kubwa msibani ilikuwa ni kuchimba kabuli,kumstili marehemu kumbemba na kwenda kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele ,
Kulia,kupika ,kuchota maji Na inshu ndogo ndogo ilikuwa ni kazi ya kina Mama,
ila siku hizi sasa wanaume kazi yao ni kulia Na kulegea Na wanawake kuja kutoa pole.
Wanaume wamekuwa soft sana siku hizi hivi mwanaume Yule anaelia msibani siku akifiwa ata Na mwanae ataweza kwenda kumstili marehemu,kumuosha,kumvika Na kumuweka kwenye jeneza.
Wanaume we are under attack ipo siku isiyo Na jina wanawake watatupokea kazi hizi.
Zero IQ
Wanaume tukitaka kulia huwa tunaenda chooni tunatema nyongo halafu tunatoka tukiwa sawa na siyo kulia hadharaniJanaume linalia huku linatafuna kachori.Domo limelegea kama anabwia bwimbwi.@#$%&!!