Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

Mwanaume anamtongoza mwanamke huku anajenga picha ya siku moja huyu mwanamke atakuwa kwangu kama mke huku akinihudumia katika moja na mbili kama mke halali na wakati huo mwanamke anajenga picha ya jinsi atampeleka huyo mwanaume kwenye ATM na anaimagine pesa zinavyohesabiwa na ATM kwa ajili yake. Kula uliwe ndiyo mtindo wa kisasa akikimbia huku umekula itapunguza maumivu kama akakuchuna tu na akakimbia.
sasa ukizihesabu si ndio naona huby huyu hapa, hapa kuna uhakika wa watoto kusoma st kunani, sio unazibania ili iweje?
 
habari zenu wapendwa

leo hebu niwaulize nyie wanaume, hii tabia mbaya mlioianza ya mkiombwa hela unajibu "njoo uchukue" badala ya kutuma tu mmeitoa wapi?

kama wewe ukiombwa hela unatuma tu basi na ubarikiwe sana, ila nyie mnaotaka zifuatwe mshindwe na mnyong'onyee.

NB; kila mwanaume na awe responsible kwa mpenzi wake bila kujali malipo, ndio uanaume huo.

Heaven Sent wewe pesa kwako ni bonus hivyo ole wako!!

muwe na jioni njema
Sasa wewe Atoto ukiomba pesa unataka upewe hapo hapo bila kulipia LUKU,mwisho wake utakuja kuwa mama wa kanisani tu yaani mlokole,huoni hiyo itakuzeesha? coz mshedede hukusababishia kuwa na ngozi nyororo,mvuto,furaha na kinga dhidi ya saratani ya matiti na uke,sababu manii hukuingia katika sistem na ku flush sumu yoote ilio mwilini,.
 
Mmh hata hivo nilisahau kwako pesa ni bonus, atoe asitoe poa tu, teh!
Hahahaha hapana chezea bepari la kinyaki, muniwacheeeee
Bonus tuuuuuuuuu
Mmh basi poleni kama hadi mnakaguliwa aiseee
Pole yao hao wanaokutana na hayo maswaibu. Sema me nahisi hawa wanakuwa na mapenzi ya kimwendokasi, Kila mtu mjanja ndo maana wanakomoana/ kuviziana fulani. Watu wenye mahusiano serious, hadi akwambie uzifuate basi ni kweli kuna necessity ya kuzifuata na ukifika unapewa tu bila conditions. Akikumiss si anasema tu njoo na unaenda tu kiroho safi
 
kuomba hakukwepeki, hata Mungu tunamuomba na hatumuoni seuse nyie??
Mungu tunamwomba kwa sababu yeye ndie muumbaji na mwokozi. Lakini mwanaume unaemwomba cyo muumbaji wala mwokozi, ni mtu km wewe tu ambae ataamua ugaramie unachoomba
 
habari zenu wapendwa

leo hebu niwaulize nyie wanaume, hii tabia mbaya mlioianza ya mkiombwa hela unajibu "njoo uchukue" badala ya kutuma tu mmeitoa wapi?

kama wewe ukiombwa hela unatuma tu basi na ubarikiwe sana, ila nyie mnaotaka zifuatwe mshindwe na mnyong'onyee.

NB; kila mwanaume na awe responsible kwa mpenzi wake bila kujali malipo, ndio uanaume huo.

Heaven Sent wewe pesa kwako ni bonus hivyo ole wako!!

muwe na jioni njema
Hahahahahaha pimbavu kabisa hata Mimi Ndio ninavyofanya sasa Hivi, ndio nawakomesha balaa. Ukija nakuonesha sms Feki ya Mobile banking offline.... Ubaya Ubaya tu kwanza mwezi mtukufu huu
 
Hahahaha bongeeeee la bonus

Mwee wewe nenda tu kazifate, unaogopa nini sasa? Au unahofia utazilipia hela kabla ya kukabidhiwa teh? Daddy angu hana tabia hiyo kabisa, kuwa tu na amani kafate mzigo wako
baba yako namkwepa hatari maana leba tena hapana, so atume tu.
 
Pole yao hao wanaokutana na hayo maswaibu. Sema me nahisi hawa wanakuwa na mapenzi ya kimwendokasi, Kila mtu mjanja ndo maana wanakomoana/ kuviziana fulani. Watu wenye mahusiano serious, hadi akwambie uzifuate basi ni kweli kuna necessity ya kuzifuata na ukifika unapewa tu bila conditions. Akikumiss si anasema tu njoo na unaenda tu kiroho safi
Sure sababu kuu ni mapenzi ya mwendokasi
Sema pia kuna baadhi ya wanaume hawajiongezi, so usipoomba eti kwako pesa na bonus naye anatake advantage, anakuwa anakupiga free P tu teh, sasa bora iwe hivyo huku ana malengo ya kweli na wewe....otherwise akiku-damp ni maumivu plus
 
Hahahahahaha pimbavu kabisa hata Mimi Ndio ninavyofanya sasa Hivi, ndio nawakomesha balaa. Ukija nakuonesha sms Feki ya Mobile banking offline.... Ubaya Ubaya tu kwanza mwezi mtukufu huu
teh teh teh

Mkuu unaonekana na wewe mafia sana kwa totoz nzuri nzuri.
 
Unayemwomba akutumie pesa itakuwa unamwamini sana, kwanini usite kwenda kuchukua? Kama unataka kuchuma usipopanda usiende! Wenzio wataenda.... acheni sitaki nataka..... kama unaogopa risk basi mwombe pesa kaka/baba/mama/mlezi/dada/ bibi/babu...nk... yanini umuombe mtu usiye na imani naye?.... Juwa kwamba BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA.... Njoo uchukue hiyo hela GETO
 
Sure sababu kuu ni mapenzi ya mwendokasi
Sema pia kuna baadhi ya wanaume hawajiongezi, so usipoomba eti kwako pesa na bonus naye anatake advantage, anakuwa anakupiga free P tu teh, sasa bora iwe hivyo huku ana malengo ya kweli na wewe....otherwise akiku-damp ni maumivu plus
Hahahaha naona aibu kwa nachotaka kusema, ngoja nije chemba. Otherwise huwezi nielewa why nimejiwekea kuwa ni bonus
 
Back
Top Bottom