Siku hizi SMS zamani Barua

Siku hizi SMS zamani Barua

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,395
Reaction score
13,273
attachment.php
 

Attachments

  • Barua za kutongezea za enzi hizo.jpg
    Barua za kutongezea za enzi hizo.jpg
    44.7 KB · Views: 585
Halafu hiyo karatasi unainyunyuzia marashi!

Bro, hayo ndo maendeleo.

Mimi mara ya kwanza kuvaa viatu ilikuwa ni wakati naingia form one.Kabla ya hapo ni kupekua tu mpaka miguu inaota magaga. Nilipata taabu sana kuzoea viatu!
Siku hizi mtoto akizaliwa tu, anavishwa viatu!
 
hapo ishu ilikua namna ya kufika hio barua kwa huyo umpendae hahahaaaaaa hapo ndo utajua tulikua tunacheza michezo ya hatari wakati huo
 
Back
Top Bottom