Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,087
- 5,900
- Thread starter
- #21
Ndio akili yako ilipo ishiaAcha ule mchezo wa self-service
Ndio akili yako ilipo ishiaAcha ule mchezo wa self-service
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii tabia imenikuta sana,unabadilishana namba then napotezea..nahisi nimekuwa mpenzi sana ile scene ya kuomba namba than vitendoHapo vip!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Siku hizi mimi mwanamke naona sio priority kwangu, kiasi kwamba inaweza kupita hata miezi mitatu sina habari,naweza kukutana na wasichana ambao wanaonekana wapo very interested kwangu nikabadilishana number lakini mwisho wa siku nawapuuzia. Sometimes napanga appointment Ya kumeet naye then mimi nazingua juu kwa juu.
But sometimes nahisi kwasababu nipo busy au tatizo nimekua more selective.
Nb. Sometimes usiku ndio naanza kuwakupunga hawa viumbe lakini pia hata issue ikisimama might pia naona uvivu kutongoza.. I wish hii kazi ya kutongoza nimpe mtu mimi nikute mtu yupo tayari nikupanda tu.. Sina habari.
Kukua kimwili au kiakili ?Ujue umeshaanza kukua
kufanana kawaida. nimeshawahi kudate demu tuliktana hapa JF...tunafanana kila kitu (sio sure au umbo), ila ile ongea, predictions, ...mfano nawez akuwa nina mtext kitu kumbe na yy ananitext hicho hicho...tulikuwa tunakesha tunachat coz it's like you are tlaking to uaself (self examination)Duu yaani kuna watu wanafanana mno. Ulivoandika ni kaka mimi hivo hivo yaan8 hadi naogopa usikute wewe ni jini
Kukua kimwili au kiakili ?
Mmh kweli kila tatizo huwa ni Opportunity naomba kuwa secretary tu [emoji23]Naomba tenda mkuu.
Nitahakikisha dates tatu na mtu unayemtaka zinapatikana baada ya dates tatu mimi na wewe biashara inakua imeisha.
Kutegemea na aina ya msichana malipo yanaanzia 575,000/=Tsh mpaka 3,637,450/=Tsh kutegemea na mwanamke unayemtaka.
Zingatia haya:
-Sideal na bongo movie au mwanamke aliyewahi kuonekana kwenye tv.
-Kuna gharama ya kumfanyia surveillance mwanamke husika. Surveillance hufanyika wiki mbili.
-Baada ya kutajiwa gharama utalipa 60% ya gharama uliyotajiwa au gharama zote ulizotajiwa.
-Mwanamke unayemtaka ni kwa ajili ya kuoa tu.
Ufanye na marketing kabisaMmh kweli kila tatizo huwa ni Opportunity naomba kuwa secretary tu [emoji23]
Magufuli kafanikiwa kwenye viwandaNaomba tenda mkuu.
Nitahakikisha dates tatu na mtu unayemtaka zinapatikana baada ya dates tatu mimi na wewe biashara inakua imeisha.
Kutegemea na aina ya msichana malipo yanaanzia 575,000/=Tsh mpaka 3,637,450/=Tsh kutegemea na mwanamke unayemtaka.
Zingatia haya:
-Sideal na bongo movie au mwanamke aliyewahi kuonekana kwenye tv.
-Kuna gharama ya kumfanyia surveillance mwanamke husika. Surveillance hufanyika wiki mbili.
-Baada ya kutajiwa gharama utalipa 60% ya gharama uliyotajiwa au gharama zote ulizotajiwa.
-Mwanamke unayemtaka ni kwa ajili ya kuoa tu.
sawa papaa mutombokufanana kawaida. nimeshawahi kudate demu tuliktana hapa JF...tunafanana kila kitu (sio sure au umbo), ila ile ongea, predictions, ...mfano nawez akuwa nina mtext kitu kumbe na yy ananitext hicho hicho...tulikuwa tunakesha tunachat coz it's like you are tlaking to uaself (self examination)