God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
.......
2nasoma Plate Number mkuu. Cc n police jamiiiiiAkipita iwe kuna watoto, vijana, wababa au wababu lazima wageuke nyuma.
Kulikoni wana MMU kwanini imekua hivi siku hizi?
View attachment 402651
View attachment 402652
Huko nyuma ndo tabia zipo au?Wanaangalia tabia kama ni nzuri au lah!
Akipita iwe kuna watoto, vijana, wababa au wababu lazima wageuke nyuma.
Kulikoni wana MMU kwanini imekua hivi siku hizi?
View attachment 402651
View attachment 402652
Bado hujakomaa kiakili dogo nishaona baadhi ya nyuzi zako humu, kwa taarifa yako kasome upate maarifa. Ni usafi wa mtu tuu mbona vimbao/pasi vimejaa fangasi kibao?Unapenda kukutana na mifangasi au?
Tabia si ndo iko huko sasa!Jamani mbona kila siku mnabadilika?mlisema mwanamke tabia sasa imekuaje tena?
Tabia kijijini, mjini shepuJamani mbona kila siku mnabadilika?mlisema mwanamke tabia sasa imekuaje tena?
Tabia lazima uangalia ya nyuma kwanza maana wengine hua wanabadilika sana... HahahaaJamani mbona kila siku mnabadilika?mlisema mwanamke tabia sasa imekuaje tena?
ha ha ha.....tusokuwa na nyuma tulie tu lol!!Jamani mbona kila siku mnabadilika?mlisema mwanamke tabia sasa imekuaje tena?
Aaaah kumbe ndio msemo mpya eeehTabia kijijini, mjini shepu
Duh kweli nyie hamtabirikiTabia lazima uangalia ya nyuma kwanza maana wengine hua wanabadilika sana... Hahahaa
Yani sijui tu tufanyeje au tuweke ya mchina?ha ha ha.....tusokuwa na nyuma tulie tu lol!!
