M malinda Senior Member Oct 20, 2012 196 32 Oct 20, 2012 #1 hata suala la harakati za sheikh ponda na uamsho kule znz tunaambiwa eti freemasons wanahusika,.. Magazeti ya udaku ya bongo ni laana taanza kuandika habari zenye kufikirisha bongo?
hata suala la harakati za sheikh ponda na uamsho kule znz tunaambiwa eti freemasons wanahusika,.. Magazeti ya udaku ya bongo ni laana taanza kuandika habari zenye kufikirisha bongo?
Nicole JF-Expert Member Sep 7, 2012 4,274 2,514 Oct 20, 2012 #2 Mkuu mbona umeweka uzi siko?au ndo nitoke vp?
HIMARS JF-Expert Member Jan 23, 2012 69,373 94,567 Oct 20, 2012 #5 Umekosea gear ya kuingilia mgeni unakuja na shari hapa utapata ban Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Umekosea gear ya kuingilia mgeni unakuja na shari hapa utapata ban Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mzee wa Rula JF-Expert Member Oct 6, 2010 8,171 3,346 Oct 21, 2012 #6 Ni kweli ukibofya Global Publishers wamegusia suala la vurugu za waislam na Freemason. Nadhan ndiyo yale majibu mepesi kwa maswali magumu!!!!
Ni kweli ukibofya Global Publishers wamegusia suala la vurugu za waislam na Freemason. Nadhan ndiyo yale majibu mepesi kwa maswali magumu!!!!