Siku hizi kila kinacho tokea kinahusishwa na freemasons, ni ugumu wa kufikiri ama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku hizi kila kinacho tokea kinahusishwa na freemasons, ni ugumu wa kufikiri ama?

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by malinda, Oct 20, 2012.

 1. m

  malinda Senior Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata suala la harakati za sheikh ponda na uamsho kule znz tunaambiwa eti freemasons wanahusika,.. Magazeti ya udaku ya bongo ni laana taanza kuandika habari zenye kufikirisha bongo?
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu mbona umeweka uzi siko?au ndo nitoke vp?
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Ulipoiweka hapa!! duh
   
 4. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,967
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mgeni huyu. Karibu sana JF.
   
 5. Root

  Root JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 22,498
  Likes Received: 8,030
  Trophy Points: 280
  Umekosea gear ya kuingilia mgeni unakuja na shari hapa utapata ban

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni kweli ukibofya Global Publishers wamegusia suala la vurugu za waislam na Freemason.

  Nadhan ndiyo yale majibu mepesi kwa maswali magumu!!!!
   
 7. Rapha

  Rapha Tanzanite Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Staili yako ya kuingia JF nmeipenda!!
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,329
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Karibu sana JF kiongozi.
   
Loading...