Hivi likizo ndio zishaanza vile!?
Na hilo nalo ni la kuanzisha thread
kubwa jinga la mwisho wewe kwanini usipuuze dv 5 ww.
we zuzu anzisha ya kwako iliyo makini kuliko hii.
wakuu naishi nyumba ya kupanga kuna binti wa mama mwenye nyumba alikuwa ananitupia shikamoo kila akiniona lakini baada ya wiki mbili hanisalimii na tukionana ni full kurembua nikajaribu kuuliza wadau hii nini au kuna nini wadau wakasema huyo anataka dushelele je ni kweli binti akiwa anakusalimia mara salamu ikakata basi ni dalili tosha anataka dushelele?