Siku hizi hapendwi mtu...

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,663
Jamaa alikuwa kwenye Hummer na mpenzi wake, ambaye wakati huo alikuwa akilamba ice-cream huku kiyoyozi kinampuliza, gari liko kwenye silence;
MJAMAA: Bebi kuna kitu nataka kukwambia lakini najua utaniacha
MBEBS: Sema tu swity
MJAMAA: Usikasirike lakini mpenzi
MBEBS: We sema tu hanii
MJAMAA: Nimekuficha muda mrefu lakini, kiukweli mi nina wake wawili
MBEBS:Hahahahahahahaha hilo tu swity nilidhani unataka kusema gari hili sio lako.
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haha hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
....
MJAMAA: Nimekuficha muda mrefu lakini, kiukweli mi nina wake wawili
MBEBS:Hahahahahahahaha hilo tu swity nilidhani unataka kusema gari hili sio lako.

Hapo ndo ujue siku hizi kupata mke asiye na tamaa za mali ulizonazo ilivyo kazi
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiii hihihihiiiiii.........!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…