kuna tofauti kati yangu mm na ww kuhusu kufaham mapenzi,mm nafaham kvle na ww unafaham khvi!Kwenye topic unasema siku hizi hakuna mapenzi ya kweli. Then, unauliza nini maana ya mapenzi. Kama hujui maana ya mapenzi umejuaje kuwa siku hizi hakuna mapenzi ya kweli?
kuna tofauti kati yangu mm na ww kuhusu kufaham mapenzi,mm nafaham kvle na ww unafaham khvi!
Mi pia sijui mapenzi ni nini, mpenz ni nani, kupendana ni nini. Mwenye kamusi aniwekee link.
nataka niangalie maana zake. Hebu niwekee link bwana.Mapenzi yanajuliwa kwa kamusi sio eh?
nataka niangalie maana zake. Hebu niwekee link bwana.
Garmil kitu kilichoharibu mipango yoote ambayo Mwenyezi Mungu alipanga ni MAPENZI
The world goes round, hivyo mapenzi kuisha haiwezekani... lazima mwanadamu apitie ingawa
kuna exceptions... But hayo maswali yako yananipa picha you have neva fallen or you
have fallen but don't understand as a result ya the confusing feelings una experience...
Compare na heading
Am telling you wen i saw the heading and it was Chit Chat forum nikajua napozea..
Those questions he has provided needs a lot of relaxed happy mood feeling.. And if indeed
i do compare with the heading i will presume katendwa.. but nikafikiri kama katendwa...
Those are such naive qns for a person alotendwa, it would have presented with finality in them..
I hope you are getting me EMT...
kichina itakuwa poa zaidi.Linki ya Kiinglishi au Kiswahili?
kichina itakuwa poa zaidi.
Got you. Nafikiri pia heading ya thread inawezajibiwa na maswali aliyouliza mdau. Siku hizi hakuna mapenzi ya kweli kwa sababu:
1. Watu hawajui nini hasa maana ya mapenzi
2. Watu wanaamini kuwa hakuna maisha bila mapenzi
3. Baadhi ya watu wanajiua kwa ajili yamapenzi (so watu wanaogopa kuwa na mapenzi ya dhati)
4. Siku hizi hakuna mapenzi ya kweli au ni kuzinguana tuu ili siku ziende
nishajua unanibania tu.Kuna lugha mbili za kichina. Chinese traditional or simplified?
I agree na yoote uloongea for hua tunakua na Mapenzi ya kweli wen we are
younger but eventually grow up.. sielewi sababu za wakaka but by presumption
ila kwa wadada naomba usome this Link... si yoote soma from age 19 - 32...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...d-that-speacial-lady-you-have-fallen-for.html
nishajua unanibania tu.