WILLIAM MARCONI
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 2,307
- 953
Wadau ni muda sasa toka sintofahamu ya Dr. Slaa ilipozungumzwa na mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman A. Mbowe.
Na leo japokuwa hajaliongelea moja kwa moja lakini ameliongelea kinyume nyume. Ni rai yangu sasa tuache kuliongelea hilo jambo kwa mbwembwe au muhemuko.
Ni wazi siku Dr. Slaa akiongea anaweza akabadili upepo wa kisiasa ambao tayari wanaCHADEMA wanaamini wameshavuka.
Tumuache Dr. Slaa sasa ufanye maamuzi yake binafsi kama ni ya kurudi au kuachana na siasa bila kejeli au dhihaka. Hapa pana vita isiyoonekana kwa macho na kauli ya Dr. Slaa inaweza kuwa na athari endapo ataendelea kutukanwa kisha akaamua tukose wote kama yule mama na nabii Suleman.
Nawasilisha.
Unashangaa hili?Mbowe ndo ameanza kampeni za kumchafua Dr Slaa kupitia hivi vijibwa vyake,kama kawaida yake.
JD baba, Sikonge huyu,,,,,,
ndo wewe nini huyo? kama ndio basi uko bomba mbayaaaa yani! na bila shaka huo mtindi umethibitishwa na TBS.
ndo maana unaringa kumbe humu kwa sababu mrembo. sijui nitakupataje?
ACT imekuchosha ?Slaa na lipumba amechoka na hataki kutumika na ccm, mbowe kanunuliwa.
Ni kweli huyu Mdada ana mtindi ile mbaya, Wowowo pia. Mwenzio nafaidi.
Ohhh, Sikonge ni Ngosha kijana na tena ni Shehe Kipezeo team, Wabeba mizigo, unajua tena Wanyamwezi.
Ana Pacha wake mzuri tu kama huyu naweza kukugawia ukija Sikonge maana naona Udenda umekutoka.
Ulipoona tu picha ukatoa WOJU......
Mie sivutu Majani kijana, natumia tu Jack Daniels..... JD Baba.....
Wanamtenga na kumtusi eti ana tamaa hivi ni kweli ana tamaa? mmemtumia kama kondomu alafu leo mnajiita mna demokrasia kwasababu mmenunuliwa? huu ni usaliti mkubwa
Ikimbidi Dr Slaa aongee...atasema mstari mmoja tu...
"Freeman Mbowe anapaswa kuongezwa kuwekwa namba 12 kwenye List of shame"
Nikikumbuka mshikamano wa Mbowe na Slaa sielewi inawezekana vipi haya yafike huku.....
Wanaomtukana Dr. Slaa hawaijui siasa za upinzani Tanzania. Huwezi kuzungumzia upinzani wa Tanzania ukaaacha Jina la Dr. Slaa, Prof. Lipumba na Zito. Huo ndio ukweli, na endapo wangelijua hilo wange kaa kimya kuliko ku mprovoke huyo mzee, siku akichukia akaamua kufungua kinywa chake athari zake mtaziona.