Wadau ni muda sasa toka sintofahamu ya Dr. Slaa ilipozungumzwa na mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman A. Mbowe.
Na leo japokuwa hajaliongelea moja kwa moja lakini ameliongelea kinyume nyume. Ni rai yangu sasa tuache kuliongelea hilo jambo kwa mbwembwe au muhemuko.
Ni wazi siku Dr. Slaa akiongea anaweza akabadili upepo wa kisiasa ambao tayari wanaCHADEMA wanaamini wameshavuka.
Tumuache Dr. Slaa sasa ufanye maamuzi yake binafsi kama ni ya kurudi au kuachana na siasa bila kejeli au dhihaka. Hapa pana vita isiyoonekana kwa macho na kauli ya Dr. Slaa inaweza kuwa na athari endapo ataendelea kutukanwa kisha akaamua tukose wote kama yule mama na nabii Suleman.
Nawasilisha.
usifikiri hii ishu imeanza leo. mbona ipo kitambo, sema ilikuwa chini ya kapeti. ni ukweli ulidhahiri kuwa slaa alikuwa anaburuzwa na mbowe. wakati huohuo mshauri mkuu wa mbowe akiwa mkwe wake mtei. kilichoamliwa na mtei-mbowe hakukuwa na wakukipinga. tatizo lenu nyie ni misukule. tuliwambia sana humu lakini ndo hivyo hamuambiliki. binafsi hata sishangai haya ninayoyaona.
mimi siko chadema lakini ninawashikaji wengi tu ndani ya chadema wanaonipa michapo kila kukicha. ajabu wewe upo chadema unaishia humu mitandaoni. aibu.
Sitakaa nimuamini tena binadamu anaitwa Freeman Aikaeli Mbowe.

Nikikumbuka mshikamano wa Mbowe na Slaa sielewi inawezekana vipi haya yafike huku.....
bila neno la mzee wangu dr slaa kula yangu october napeleka kusikojulikana....dhihaka imevuka mipakaNikikumbuka mshikamano wa Mbowe na Slaa sielewi inawezekana vipi haya yafike huku.....
Sitakaa nimuamini tena binadamu anaitwa Freeman Aikaeli Mbowe.
bila neno la mzee wangu dr slaa kula yangu october napeleka kusikojulikana....dhihaka imevuka mipaka
Tatizo linalomsibu Dr Slaa lipo ndani ya familia yake mwenyewe, na siyo tatizo la Chadema, hata hivyo ninamtakia mapumziko mema akiwa nchini Australia na familia yake baada ya maandalizi ya safari ya kuondoka na familia yake nchini kukamilishwa na TISS kwa msaada wa mke wake.
Unashangaa hili?Mbowe ndo ameanza kampeni za kumchafua Dr Slaa kupitia hivi vijibwa vyake,kama kawaida yake.Unawajua TISS wanaomlinda Waziri Mkuu mjiuzulu wanaripoti na nakuwajibika kwa nani?
Kama kweli kauli kama hizi zinatoka kwa mwanachadema safari ya Ukombozi kwa ile misingi ya awali ya Chadema kwisha habari yake.
Huna lolote kama hauko chadema kinachokufanya uifuatilie kwa ukaribu ni nini??
Kijanana ukiwa mnafiki lazima uzeeni uwe mchawi.
Poor ccm
Mungu bariki CDM
Mungu bariki Tanzania
Kumbe wewe ni kweli nilivyosikia kuwa ni BOY nyumbani kwa Mtei.
Ndiyo maana unajua yote yanaoendelea, BOY. Wahi kamfulie Chupi zake maana patachimbika.
Endelea kuiba SIRI za ndani za Mtei na kutuletea kwani utasaidia sana kulikomboa Taifa hili kutoka mikono ya CCM.
bangi.Wewe ni Gamba! Tulia sindano ya Ukawa ikuingie vizuri!
Tatizo linalomsibu Dr Slaa lipo ndani ya familia yake mwenyewe, na siyo tatizo la Chadema, hata hivyo ninamtakia mapumziko mema akiwa nchini Australia na familia yake baada ya maandalizi ya safari ya kuondoka na familia yake nchini kukamilishwa na TISS kwa msaada wa mke wake.
Mbowe kasema watatumia jitihada zote wasimwache nje pamoja na sintofahamu ilotokea...