Siku CHADEMA ikifa

wanajf!nini mustakabali wa chadema ikishindwa kuchukua dola 2015?je kitasambaratika vipande vipande?au kitakufa kabisa?kwa yanayoendelea misri watanzania wamejifunza hatuwezi kuwapa wapinzani nchi,karibuni kwa michango yenu wakuu
Wewe una uhakika wa kuiona kesho? watu wajinga huwa wanawaza vitu vya kijingajinga tu. Pumba.vu kabisa.
 
wanajf!nini mustakabali wa chadema ikishindwa kuchukua dola 2015?je kitasambaratika vipande vipande?au kitakufa kabisa?kwa yanayoendelea misri watanzania wamejifunza hatuwezi kuwapa wapinzani nchi,karibuni kwa michango yenu wakuu

We jiulize CCM wakishindwa mafisadi kina EL JK RA na mijizi mengine yoote ya CCM yatakavyokimbia nchi!!!
 
haslajr!nenda taratibu,mbona hampendi kushughulisha akili zenu vijana wa cdm mnakuwa kama kuku wa kisasa!je kwl cdm kuna uadilifu?uaminifu na credability?cdm ni kama saccos fulan kwa ajil ya genge fulani kwa manufaa ya wachache
 
ww chill, cdm ni THINK TANK ya ativists, cdm imeitoa upofu jamii na kimekubalika, jamii sasa inajitambua, mliberali ww!
 

Ukitoka ndani ya hilo box soma hapa; "AMANI NI TUNDA LA HAKI na AMANI HAIDUMU KWENYE NJAA".
Toka mwanzo hadi mwisho wa dunia inafahamika hivyo na haitabadilika.
 
BMT, ufinyu wa upeo ulionao = {MASABULISM + PINDALISM + NCHEMBALISM} ni matokeo ccm-mfu, fisadi, kiritimba na dikteta!
 

Kumbuka Amani ni tunda la haki Na shibe vinginevyo hujui unachokiongea
 
kifo cha ninyi magamba ni kufanya marekebisho kwny daftari la wapiga kura hapo hata tukiwaacha mchakachue hazitatosha maboya nyie.
 
Amani haiwezi kudumu kwenye ufisadi,
Amani haiwezi kuishi kwenye dhulma,
Watu walio Na njaa na dhiki hata siku moja hawawezi kuwa Na Amani.
 

Mkuu wazo lako ni sahihi kabisa, naliunga mkono kwa asilimia Mia moja
 
Hakika na wanachokitaka hawa wana CCM chukua chako Mapema NI kuona CDM inakufa ILI wachukue vya wadanganyika Mapema na kuwanyonya wabongo watakavyo!Bila kuwa na Chama cha kuwasemea wangong'e nchi yetu chini ya Chukua chako Mapema na mwanao na wanandugu na wake wanakosea ccm ina wenyewe, hakika muda is mrefu watu watajutia kujitajirisha Sana na kuendelea kuwazidishia kodi wanyonge ziziso na kichwa wala Miguu na kuweka kodi hadi katika mpesa na PAYE Huku katika sekta ya madini Ikiachwa! It is unwanted and they will have to pay for unyanyasaji na unyonyanyajinwa wanyonge, BORA CDM kisife ILI CCM idumu!
 

Amani ya nchi haiombewi wewe!! Akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa...ccm lazima ife.
 
Na wee Fikirikwanza Kama jina lako lisemavyo Kabla hajapost huu utumbo wako

Kwani uongo?acha kujipendekeza bila CDM hata ishu ya EPA 2ngeisikilizia hewani
 

title yako bab kubwa, ila ndani yake, nadhani ungesema, ikifa cdm basi ujue ccm itaongwazongwana majanja, na viongozi wake kuikimbia. Itabaki kama chama nazi kule germany, amabacho hadi sasa kipo
 
Hivi mshahara umeongezwa sekta ya mali asili na utalii hasa idara ya Misitu na Nyuki? Maana jua kali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…