Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,393
- 17,573
The next one where is going to sit??Kenya was capitalist land, owned by queen Sendiga from ukerewe since her birth.
Kenyan Independ was just baptism to become queens land, from day one the system was aligned to comply with capitalist standards, Capitalists undercover owned CCM in the form of socialist republic for their owned interest. Understanding this, need extra head.
Ina maana hujaona lolote jema Ccm waliloifanyia hii nchi ?....Kuyaona wapi sasa...
Kwa miaka zaidi ya thelasini CCM imekuwa ikifanya kila iliwezalo kusiwe na chama kingine cha siasa nchini Tanzania. Lakini juhudi hizo za CCM dhidi ya vyama vingine kumbe zilitakiwa zifanywe dhidi ya CCM yenyewe.
CCM ndiyo chama pekee kilichokuwa madarakani tangu Tanganyika ipate Uhuru na Zanzibar ifanye mapinduzi. kwa ivo kila baya unaloliona linatendwa na serikali ya Tanzania jua linatendwa kwa kuwa CCM iko madarakani.
Siku CCM isipokuwa madarakani ndipo Tanzania itainuka kiuchumi, kijamii, kimataifa na kwenye kila kitu kilichokwamishwa na uovu wa CCM.
Weka jema mahsusi tulijadili maana umeuliza kiujumla sana. Kama wote ni wafanya siasabiashara ni kwa nini iwe nongwa tukitaka kuwabadili na wafanya siasabiashara wenzao kuingia madarakani.Ina maana hujaona lolote jema Ccm waliloifanyia hii nchi ?....
Ccm ni zimwi likujualo hao wengine ni mazimwi tusioyajua ndio maana baada ya kupata ubunge walijiuzulu kuunga juhudi na kugombea tena ubunge...
.kifupi ni kwamba wanasiasa wa Tz bila kujali vyama vya ni wafanyabiashara wa siasa
The next one where is going to sit??
KATIBA mpya ndiyo dawa mujarabu kwa matatizo yaliyosababishwa kwa CCM kuwepo madarakani.Tunahitaji Katiba mpya
Kawadanganye wajinga wenzio huko kijijini kwenu,ccm imechokwa na watz wengiVichwa vya mamilioni ya watanzania kuna mahala vina limitations hasa vikianza kuifikiria CCM, ukiifikiria sana CCM kiundani kuna mahala utagonga ukuta na utaamua kuiacha tu kama ilivyo, ni lidude ambalo kulisambaratisha lazima uwe umezaliwa mchina na kukulia na tamaduni zote za kichina.
CCM ina mafungamano mahala na vitu fulani ambavyo vichwa vingi vikifika hapo vinagonga mwamba na watanzania wanaweza kupigana wenyewe halafu wakaamuliwa na huyo huyo CCM.
Usiniulize fikiria mwenyewe.
Kwa NEC hii sidhaniTuungane kuikomboa nchi yetu kwa kuungana kuiondoa CCM madarakani ibakie kwenye vitabu vya Historia!!