Siku CCM ikiachia madaraka

Siku CCM ikiachia madaraka

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,470
  • Hakutakuwa na shamrashamra zozote mitaani.


  • Watu watakwenda makazini na kwenye shughuli zao za kiuchumi kesho yake kama kawaida.


  • Watu hawatajifungia siku 3 majumbani wakisubiri kwa hofu kubwa kitakachotokea.


  • Hakutakuwa na ibada za kisiasa za kuiombea nchi amani.


  • Watu hawatakuwa wanajali siasa kwa kuwa kiukweli maisha yao ya kila siku hayatakuwa yanategemea siasa.


  • Mwenyekiti wa NEC hatakaa kwenye TV kwa siku nne anatangaza matokeo jimbo moja mpaka lingine. "Ule utaratibu wa Uchaguzi wa 2015 ulikuwa na maana gani hasa?" Historia itauliza.


Siku hiyo inakuja.
 
Hizo ni ndoto tu, kama ndoto za Mchungaji .....ma! huo utabir Kwa sasa hauna maana!
 
CCM itaongoza miaka 50 ijayo

Tume itabaki ile ile ambayo makamishna wake wanateuliwa na mwenyekiti wa CCM.
wapinzani ikulu ni baada ya miaka 50 ijayo.
 
bahati mbaya kuna uwezekano mkubwa wa wengi wetu kutokuwepo..Me ntafurahi hata kaburini.
 
  • Hakutakuwa na shamrashamra zozote mitaani
  • Watu watakwenda makazini na kwenye shughuli zao za kiuchumi kesho yake kama kawaida
  • watu hawatajifungia siku 3 majumbani wakisubiri kwa hofu kubwa kitakachotokea
  • hakutakuwa na ibada za kisiasa za kuiombea nchi amani
  • watu hawatakuwa wanajali siasa kwa kuwa kiukweli maisha yao ya kila siku hayatakuwa yanategemea siasa
  • Mwenyekiti wa NEC hatakaa kwenye TV kwa siku nne anatangaza matokeo jimbo moja mpaka lingine. "Ule utaratibu wa Uchaguzi wa 2015 ulikuwa na maana gani hasa?" Historia itauliza.


Siku hiyo inakuja.
Mzee umekurupuka. Naona una ndoto ambazo haziwezi timia kamwe kama huna mkakatati wowote. Tuambie kwanza ccm iachie madaraka kwa sababu zipi hasa katika siasa zetu hiI za majitaka za sasa. Eleza sababu kwanza kwa nini iachie na wewe utakayeingia utakuwa na mikakati gani. Usilete usanii usanii tu kama waliofanya kina Mbowe eti unataka kwenda ikulu kwa mtaji wa kundi la mafisadi wa nchi hii.. pyuuuuuu......f! Chsssssssss!
Eti kwa mtaji wa kuajiri wageni waje wawe ndio masterminder wa kupiga dili la kudukua kura kutika kwenye mifumo ya tume.pyuuuuuuuuf....chsssss.!
Eti kwa mtaji wa ccm haikufanya kitu kwa muda wa miaka 54 , tangu uhuru! Pyuuuuu....fffff. chsssss.!
Eti kwa mtaji wa wafanyabiashara wenye mabilioni kuja kununua wapuga kura! ! Pyuuuuu..fff. chsssss!
Eti kwa mtaji wa mshenga Gwajima ndio atuchagulie rais anayefaa nchi hii. Pyuuuuuuu...fff. chhhssssss.
Eti kwa mtaji wa kumpindua Dr Slaa kihunihuni tuu. Pyuuuff...chhssssss
Hivi ikulu ndio imeshuka thamani kiasi hiki.
Kwa hiyo ndugu usilete ndoto zako za ajabu ya dunia
 
Acha kufru mkuu pima maneno yako kabla hujaja jamvini
 
Lowasa na Mbowe walishasema, mkishindwa kuitoa ccm mwaka huu hamtaweza kamwe kuitoa! Zitakuwa ndoto tuu. Kwa hiyo makamanda wangu nashangaa mnapoteza muda buree wakati magwiji wa mitazamo ya siasa wameona hayo, nyinyi ni nani kuleta vindoto vyenu uchwara. Chadema na ukawa vimeshazindikwa. Waacheni wabunge walioambulia wale vyao wakati vyama vinaenda kufa
Tunahitaji aidha kuanzisha chama kipya kabisa au kuinua vyama vichanga ambavyo havijainuka labda vitaleta ndoto zinazoeleweka.
 
Niliileta hii mada miaka 4 iliyopita. Kuna siku mawazo na maono yangu yatakuja kuheshimiwa.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom