Siku ambayo siwezi sahau

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,066
1,194
Siku ambayo siwezi sahau

Kuna msichana nilikuwa naye katika mahusiano,alikuwa
ananipenda kweli na katika mapenzi ya kitandani alikuwa
vizuri tu.Kasoro kitu kimoja.
Alikuwa hataki tupigane ‘denda’ wakati denda ndo ulevi wangu mie.
Nikawa najiuliza huyu binti vipi,kama ni meno anayo
meupe kabisa…mdomo wala haunuki?
Sasa anakwepa nini?Maana mi naye bila denda lile tendo
halijakamilika kabisa.

Aah!! Siku moja nikamfungia kazi….kabla ya tendo nikamuandaa vizuri kabisa yaani,gusa huku gusa kule
mtoto kalegea mpaka basi.
Nikahakikisha hajielewi kabisa…..
Nikamsogezea papi (lipsi) mtoto kazipokea…..
Wacha wee!!Nikamnyonya kwa fujo mtoto hajielewi
kabisa….
Mh!!Mara nikahisi kama kuna kitu mdomoni mwangu
kimetokea katika mdomo wake…. Nikadhani Big G…lakini Big G gani ngumu hivyo
Mh!! Nini hiki sasa nikajiuliza,halafu sio kitu kidogo
yaani kikubwa kabisa.

Wee!! Si hajitambui basi nikakitema mdomoni….
He!!Meno manne…..kudadeki kumchungulia mdomoni
mdada hana meno manne ya mbele aisee niliruka nikakutana na ukuta nikajibamiza…. Aisee anafanana na zombi wee!!
Nilipozinduka nd’o nikaambiwa yule dada ana meno ya bandia na sio yale manne tu,hata mawili ya chini ni bandia….

Tuliendelea na mahusiano lakini baadaye tuliachana (sio kisa meno)

HADI LEO HAPA MBELE KWENYE KICHWA NINA BONGE YA NUNDU!! Nilivyojibamiza…..

Siku hizi nimekuwa mpole sana msichana akiniambia
hapendi kushikwa manyonyo mi wala simshiki,akisema
staili flani haipendi mi namuacha wala simlazimishi…..
hata akisema hataki tufanye mapenzi hadi siku ya ndoa mi nakubali tu…..na mwingine alisema hataki nimshike
mkono tukiwa tunatembea mi poa tu wala simshiki,kuna
wa mwaka huu hataki kupigiwa simu usiku..wala mi sipigi simu jamani!!
NILISHAKOMA….NIKILIANGALIA HILI NUNDU Mwee!!
Ingekuwa usiku ningekufa kwa presha mie!!!
 
heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee sasa ikawaje uliendelea na tendo ama ulivunja uchumba?


by the way msiwe hivyo unaweza hata wewe yakakukuta ukapata ajali kichane cha meno kikatoweka atii
 
1. sio kila unachokiona kwenye sinema ni kweli,

2. siku nyingine kabla hujatunga hadithi Fanya utafiti mdogo Mf. ungemuuliza nesi wa hapo mtaani kwenu swami hilo: hivi meno bandia yapoje na huwekwaje

3. jifunze kusitiri mdomo wako, baadhi ya maneno hutimika kulingana na watu waliokuzunguka, siku moja mwambie baba yako nano maana ya "denda" alafu njoo utuoe mrejesho.

4. bangi ni Tiba nzuri ila wewe unaitumia vi aya, kikerewe tunasema una abuse bangi!

5. wakati unasubiri matokeo yako ya kidato cha NNE unaweza kumsaidia baba shambani!


asante kunisikiliza,
 
Kwe kwe kwe kwe kwe kwe kweeeeeeee...!!
duuh mbavu zangu mieeee......
 
Asiyesikia la mkuu....umbeambiwa hataki denda Wewe ukang'ang'ania upewe denda....ulitegemea hataki denda makusudi??? Haya umepata denda unarukaruka mpaka kujibamiza ungekata roho je? ....pole lakini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom