Tanzania People defense force (TPDF)Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile
Je siku akitokea Mzanzibar akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa makusudi ya kulindwa kisheria na kikatiba akawa anatapanya rasilimali za Tanganyika kwa maslahi yake au kwa maslahi ya kikundi fulani kilichopo Zanzibar jiulize nani wa kutetea au kuzilinda mali za Tanganyika?
Zanzibar wana serikali yao inayolinda mali na rasilimali za Zanzibar je Mali za Tanganyika zinalindwa na nani?
Kimsingi Waziri Mkuu na Baraza la mawaziri ndio wenye jukumuu hilo na kwenye Chama ni Makamu Mwenyekiti Bara na Karibu Mkuu wa Chama. Lakini tatizo la sasa hivi Kwa Baraza la mawaziri, wanaweza kuwa chawa WA Raisi, hivyo kushindwa kuifanya hiyo KAZI ipasavyo. Hivyo kubaki Waziri Mkuu pekee yake, lakini akiwa jasiri anaweza kulitumia Bunge na kueleza sababu zake za kujiuzulu.Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile
Je siku akitokea Mzanzibar akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa makusudi ya kulindwa kisheria na kikatiba akawa anatapanya rasilimali za Tanganyika kwa maslahi yake au kwa maslahi ya kikundi fulani kilichopo Zanzibar jiulize nani wa kutetea au kuzilinda mali za Tanganyika?
Zanzibar wana serikali yao inayolinda mali na rasilimali za Zanzibar je Mali za Tanganyika zinalindwa na nani?
Mleta mada naona anazunguuuuka wakati inajulikana...🤣Kwani bado hajatokea?
Unataka kusema kama ilivyotokea awamu hii?Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile
Je siku akitokea Mzanzibar akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa makusudi ya kulindwa kisheria na kikatiba akawa anatapanya rasilimali za Tanganyika kwa maslahi yake au kwa maslahi ya kikundi fulani kilichopo Zanzibar jiulize nani wa kutetea au kuzilinda mali za Tanganyika?
Zanzibar wana serikali yao inayolinda mali na rasilimali za Zanzibar je Mali za Tanganyika zinalindwa na nani?
Mara ngapi atokee kwani.Kwani bado hajatokea?
Kwahiyo wewe unaona huyu bado hajatumaliza watanganyika!? Yani unaona Yuko poa!?Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile
Je siku akitokea Mzanzibar akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa makusudi ya kulindwa kisheria na kikatiba akawa anatapanya rasilimali za Tanganyika kwa maslahi yake au kwa maslahi ya kikundi fulani kilichopo Zanzibar jiulize nani wa kutetea au kuzilinda mali za Tanganyika?
Zanzibar wana serikali yao inayolinda mali na rasilimali za Zanzibar je Mali za Tanganyika zinalindwa na nani?
Anaoogoopaa.... Angeomba tu umpostie Basi!😄Unataka kusema kama ilivyotokea awamu hii?
Kwa maslahi mapana ya TAIFA pia Usha wai ku sikia kustaafishwa kwa manufaa ya umma..Kwa sheria zipi? Hairuhusu Jeshi kupindua serikali iliyopo madarakani bwasheee!!
Kwa madaraka na mamlaka aliyonayo Raissidhani Kama kuna mtu wa kumchunguza akiwa anatapanya mali za Tanganyika na Waziri mkuu hawezi,rejea kauli ya Ndugai na matokeo yakeKimsingi Waziri Mkuu na Baraza la mawaziri ndio wenye jukumuu hilo na kwenye Chama ni Makamu Mwenyekiti Bara na Karibu Mkuu wa Chama. Lakini tatizo la sasa hivi Kwa Baraza la mawaziri, wanaweza kuwa chawa WA Raisi, hivyo kushindwa kuifanya hiyo KAZI ipasavyo. Hivyo kubaki Waziri Mkuu pekee yake, lakini akiwa jasiri anaweza kulitumia Bunge na kueleza sababu zake za kujiuzulu.
Kwenye Chama Makamu Mwenyekiti Bara na Karibu Mkuu wanatakiwa kumkumbusha Raisi , Sera ya chama
Icho chombo ni karai, bakuli au ndoo....? Hakina jina?Kipo chombo ambacho kipo Juu ya rais, hakionekani, chombo hicho kipo thabiti, hakuna aliyewahi kukiudhi au kupitiliza mipaka, kikafanya kazi yake, ukitaka kukiona utendaji wake subiri muungano uguswe kwa dhamira mbaya!
Acha mzanzibar siku hizi nchi Zina intelligence unity zilizo sheheni vichwa. Nchi jirani kama Kenya au ruwanda au nchi yoyote inaweza ikamgiza mtu wao akawa raisi wa tanzania. Na afanikisha malengo walio muweka na asishitakiwe. Ukizigatia unity ya intelligence imesukwa kisiasa zaidi badala ya kitaaluma.Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile
Je siku akitokea Mzanzibar akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa makusudi ya kulindwa kisheria na kikatiba akawa anatapanya rasilimali za Tanganyika kwa maslahi yake au kwa maslahi ya kikundi fulani kilichopo Zanzibar jiulize nani wa kutetea au kuzilinda mali za Tanganyika?
Zanzibar wana serikali yao inayolinda mali na rasilimali za Zanzibar je Mali za Tanganyika zinalindwa na nani?
Hakishughuliki na wezi wala ujinga wa ufisadi bali kinashughulika na ulinzi wa tunu nyeti za Kitaifa.Icho chombo ni karai, bakuli au ndoo....? Hakina jina?