Siku akikubali natangaza ndoa/ nipeni maarifa

Siku akikubali natangaza ndoa/ nipeni maarifa

Basi wakati anaendelea kupambana na mitihani ya malecture, classmate na mabaharia acha mimi niendelee kusaka pesa..
Mshuaa jiongeze sana Asee
Ujuvii na takwimu zisizo rasmi..
Demu wa mwaka wa kwanza bado sana, ajui vingi na aoni fursa nyingi...
Akifika mwaka wa tatu akisema ivoo ujue huyo ndo wife material..
Nikija kwenye ile mada ya kula demu kimasihala nakuta visa kama vyako mkuu
Ngoja apitie mitihani ya chuo kwanza ndo ukuje uku useme ni wife material ..
Ma lectures awajaanza kumuona ...
Member wa group discussion za mchana na usiku bado apoo ...
Mzeiyaaa mda bado wa kuitwa wife material....
Utajeruhiwa vibaya zaidi ya awali ,be humble ,watch,observe and wait first
Basi wakati anaendelea kupambana na mitihani ya malecture, classmate na mabaharia acha mimi niendelee kusaka pesa.
 
kila mtu anazungumzia mwaka wa kwanza kwani kuna nini mwaka wa kwanza?. hakuna wife material mwaka wa kwanza
 
Angekuwa ashamaliza chuo ningetoa ushauri mzuri, siamini sana wanachuo.....

Huna kazi ya kumpa? Hata kumuita kwako akusaidie usafi? Anzia hata hapo untanie, mwenye nia na wewe hawezi kataa moja kwa moja.
 
Muombe mtoke out, then mpeleke sehemu nzuri ambayo hata yy akifika tu mazingira ya hiyo sehemu yamvutie halafu mjue kidogo(historia yake, ndugu zake n.k)
Ukimaliza hapo sasa mfungukie ya moyoni mpaka yaishe,, wakati mnazungumza agiza na misosi ya maana ale ashibe. Usilazimishe akupe jibu siku hyo hyo mpe muda, usiache kumjulia hali kila siku na vizawadi vya hapa na pale.
Wew unataka ndugu yetu afe kwa mawazo hapo badae zawad tena mmm[emoji23][emoji23] wanawake mnawajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliposoma mwanzoni mwa Uzi wako kuwa yuko mwaka wa kwanza Chuo nikakupuuza hapo hapo hata sikutaka kusoma Uzi wote kwakuwa najua miaka michache ijayo utakuja kulia lia hapa! Nani alikwambia umpende mwanachuo Tena first year mpk uwaze ndoa kama sio kutafuta majanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akifika 3rd year uje utupe mrejesho [emoji41]
Screenshot_20190730-065600.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikopi message..nitume kwa yule bwana Fulani..labda atatangaza ndoa… [emoji16][emoji16]
Sidhani,mabaharia wote hatutangazi ndoa kwa single mother au mwanamke aliegonga 30 years old[emoji41]
 
Muombe mtoke out, then mpeleke sehemu nzuri ambayo hata yy akifika tu mazingira ya hiyo sehemu yamvutie halafu mjue kidogo(historia yake, ndugu zake n.k)
Ukimaliza hapo sasa mfungukie ya moyoni mpaka yaishe,, wakati mnazungumza agiza na misosi ya maana ale ashibe. Usilazimishe akupe jibu siku hyo hyo mpe muda, usiache kumjulia hali kila siku na vizawadi vya hapa na pale.
Kuna watu ushauri wenu ni zaidi ya nguvu za giza aise, yaani unamtumbikiza shimoni kijana mwenzako hivi hivu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri...

Ila nikuambie tu mwanamke wa mwaka wa kwanza chuo kwa hiyo meseji asilimia 98 unadanganywa.

Ukishamwonyesha mwanamke unamhitaji zaidi ya anavyokuhitaji utayachukia mapenzi....

Nisiandike saana maana hakuna aliyewahi kuwaelewa.


nilikuwa na jibu hilo tU umewahi kuiweka hapa,na hata elewa kiukweli, na mwaka wa kwanza bado ni wachanga kimaamuzi sijui kama atakubali kusettle kirahisi tuu
 
Back
Top Bottom