Comment kama hizi ndio zinahamasisha ujingaItakua zaidi ya India kijijini kwenu na sio Tanzania! Walikuwepo wengi tu waliotutabiria mabaya lakini tumeuona mkono wa Mungu ukiwa pamoja nasi. Siku 60 zijazo zitakua kama siku 60 zilizopita tu!
Kwa hiyo @santoshi Mungu ni mbaguzi sio, Tanzania ndio inapendwa zaidiTuache kutishana By grace of God, Our country is corona free. Tuache kutishana achana na wanasiasa wanaotaka kupleese watoa misaada kwa kutuhusisha na mambo yasotuhusu. Sisi wengine tutaendelea kuchangamana zero distance na imani yetu itatuponya Kama tulivyoponywa toka corona ya kwanza
Mjinga namba moja ni weweComment kama hizi ndio zinahamasisha ujinga
Kwani mamlaka ya Hali ya hewa wakitabiri kesho kutakuwa na mvua kubwa inaweza kuua watu kuna kosa ?Kwa nini utabiri mabaya ambayo yatatokea why usiombe yasitokee
Huna lolote unachofanya ni kurudia tabiri za mke wa Billgate mwenyewe wajiona mjanja kumbe ni jinga la mwishoAsante,muda utasema
Mfano wa uzembe hata kama bado haikupi sababu ya kutabiri mabayaHuwezi kuomba yasitokee sababu watu ni wazembe
mpe kadi ya njano.Comment kama hizi ndio zinahamasisha ujinga