Mlupembe
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 445
- 212
Nakumbuka ule wimbo maarufu wa Chama Cha Mapinduzi katika kampeni uliishia wacha waisome namba.
Leo ni siku ya nne bara bara ya Chunya kwenda Tabora Singida kupitia mji mdogo wa Makongolosi haipitiki magari yamekwama abiria wanateseka.
Cha kukera zaidi hata mkuu wa wilaya ya Chunya alisema atalipatia ufumbuzi lakina wapi huku mbunge wao Mwambalaswa akishitakiwa kwa kesi ya rushwa.
Basi wao wanaishia kuisoma namba CCM mbele kwa mbele.