Siku 33 za kufunga na kuiombea Ukraine

Siku 33 za kufunga na kuiombea Ukraine

Wapendwa nachukua nafasi hii kutaja hadharani kuwa ni kipindi cha vita nchini Ukrain kuisha na mateso kwingineko yatokanayo na vita hiyo.

Mungu mwenyewe atawaua wote wanaohusika na kusababisha vita hivyo kabla ya kufika tarehe 01/1/2023.
Wote wanaowaombea Ukrain, USA, NATO na washirika wake kwa pamoja tufunge na kuomba ili vita iishe

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Imefanya nini?
 
Mkuu waombee na Wacongoman waafrica wenzetu
 
Wapendwa nachukua nafasi hii kutaja hadharani kuwa ni kipindi cha vita nchini Ukrain kuisha na mateso kwingineko yatokanayo na vita hiyo.

Mungu mwenyewe atawaua wote wanaohusika na kusababisha vita hivyo kabla ya kufika tarehe 01/1/2023.
Wote wanaowaombea Ukrain, USA, NATO na washirika wake kwa pamoja tufunge na kuomba ili vita iishe

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hujui chanzo unaombea shetani.
NATO wamekiuka mikataba ya amani kwa miaka 30. Mkataba unakataza NATO kujipanua ili Russia ajizuie . NATO imeendelea kujipanua hadi mlangoni kwa Russia sasa unategemea nini?
Acha wachapwe , ujinga wao ni fahari yao.
 
Imekwisha Imekwisha Imekwish, hana maisha tena Mungu atamchukua muda si mrefu.
Hana msamaha tena
 
Uweke hapa huo mkataba unaokataza NATO kujipanua.

Uongo mtupu na porojo za vijiweni.

NATO-Russia Founding Act 1997, makubaliano yaliyokubaliwa na kusainiwa kati ya Boris Yelstin aliyekuwa Rais wa Russia na viongozi wa NATO ilikubalika kila taifa lina uhuru wa kujiamulia njia na mustakabali wa usalama wake na hilo liheshimiwe.

Samahan mkuu ebu niambie biblia inasemaje kuhusu mapenz ya jinsia moja
 
Uweke hapa huo mkataba unaokataza NATO kujipanua.

Uongo mtupu na porojo za vijiweni.

NATO-Russia Founding Act 1997, makubaliano yaliyokubaliwa na kusainiwa kati ya Boris Yelstin aliyekuwa Rais wa Russia na viongozi wa NATO ilikubalika kila taifa lina uhuru wa kujiamulia njia na mustakabali wa usalama wake na hilo liheshimiwe.
Zero brain kajisomee utayakuta yamejaa tangu 1945.
 
Duh siku 33 hazijaisha chawa wa NATO? Au mi ndo hesabu sijui
 
Wapendwa nachukua nafasi hii kutaja hadharani kuwa ni kipindi cha vita nchini Ukrain kuisha na mateso kwingineko yatokanayo na vita hiyo.

Mungu mwenyewe atawaua wote wanaohusika na kusababisha vita hivyo kabla ya kufika tarehe 01/1/2023.
Wote wanaowaombea Ukrain, USA, NATO na washirika wake kwa pamoja tufunge na kuomba ili vita iishe

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hata sisi waponda kokoto tunalazimika kufunga? Au hii ni kwa watumia kalamu kujitengenezea kipato
 
Muache kuombea Taifa lenye kupinga ushoga nyie mnaombea Taifa lenye kisapoti na kupromote ushoga? Huyo ni Mungu gani mnayemuomba? Ni huyu huyu aliyeteketeza sodoma na gomora au mwingine? Hayo maombi yatakuwa kinyume chake! Na majibu mtayaona!
We jamaa ulipiga
 
Back
Top Bottom