Siku 33 za kufunga na kuiombea Ukraine

Siku 33 za kufunga na kuiombea Ukraine

2samwel 22:1-7 jipeni moyo maana ni wakati wa Mungu kuondoa mauti na kuwatoa wa Ukrain kuzimuni

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Kufunga na kuomba kuanzia tarehe 30/11/2022 Mpaka tarehe 01/1/2023 muda kuanzia asubuhi hakuna kula mpaka jioni ya jua kuzama ndio tutakuwa tunakula.
Ukiwa utapenda kushiriki lakini una matatizo kiafya ambapo hauwezi kujizuia Kula basi unaruhusiwa Kula lakini shiriki maombi na kutwa panga kuomba sio chini ya mara 3.
Tafadhali usipange kukosa na ili tujijue kama nashiriki basi usiache ku comment ili tujijue wale ambao tutashiriki

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Unashindwa kuwaombea ndugu zako wanaopata shida hapa Afrika unapoteza kuombea mashoga wazungu!!
 
Huo ni ujuha na kukosa akili za Kiroho.
Ulishindwa kuifunga hiyo vita kabla haijatokea leo ndo unakuja na ujuha huu?
Mungu angetaka kukupa kazi ya kukomesha hiyo vita angekupa kabla haijaanza na ungeistopisha.
Huo unaoufanya ni ujinga wa Kiroho.
Uache kula kwasababu ya Ukraine ilhali Tanzania maelfu wanakufa kwa magonjwa na lishe duni kwasababu ya umaskini. Hilo hulioni?
Mambo yafuatayo yametia giza tororo kwenye akili na roho yako-:
👉 Ubinafsi.... Ubinafsi kwa sababu una roho kutu ya kuona kwamba Tanzania pekee ndio inastahili kuombewa kwa Mungu kwa vile ni nchi yako. Kwenye biblia katika kitabu cha Mathayo 22:39 biblia inasema; Mpende jirani yako kama nafsi yako. Na ukitaka kwamba Mungu ashughulike na matatizo yako basi elekeza moyo wako kuyabeba kwa uzito na kuyaombea matatizo ya jirani yako. Hata kama una chuki binafsi na wazungu wa magharibi ila wamebarikiwa si kutokana na juhudi zao tu ila ni kutokana na kuweka mbali na watoto roho hii inayokutesa yaani roho ya ubinafsi.
👉 Chuki...... Chuki kwa sababu hata kama sijasomea saikolojia ila inaonyesha pasi na shaka kwamba without any reasons unayachukia mataifa ya magharibi.
Ujinga.... Ujinga kwa sababu wewe unafikiri maombi yanayotakiwa kwa Mungu ni kuzuia vita na matatizo na si kuyaondoa matatizo. Hivi unafikiri Mungu alishindwa kuzuia wana wa Israel wasichukuliwe utumwani nchini Misiri? Biblia inaonyesha kwamba baada ya wana wa Israel kuchukuliwa utumwani kule Babeli ndipo nabii Danieli alipata ufahamu wa kumuomba Mungu ili aweze kuwatoa kwenye mateso ya utumwani kule Babeli na baadaye Mungu alisikia maombi yake. Na mimi kwa sababu sina roho ya ubinafsi ninakuombea kwa Mungu ili akuondolee ujinga halafu upate maarifa.
 
Duh mtu na akili zake eti afunge kuiombea Ukraine na jemedari Mr Putin afe? Are you crazy?
Wakongo kwa miaka 60+ wanakufa kwa Vita yenye connection na wababe wa ulaya. Je uliwahi kuwaombea akina mama na watoto wa kivu kaskazini?
Je uliwahi kuwaombea walibya, wa- Cabo del gado ama Hapo
p Somalia?
Bila shaka Ni hapana !
Je Nini hiki?
Ni kujipendekeza?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hapa Urusi sio Taifa teule, Taifa teule ni Israel ikifutwa na USA,

Hivi sisi ambao tunachukua hatua ya kumkimbilia Mungu ndio mtu aseme tunajipendekeza kwa wazungu? Hapana kwani agizo la Mungu la kumpenda mwenzio haikutuwekea matabaka ya rangi au bara.
Wenzetu wanapigana vita ya kimwili damu na nyama. Sisi tutapigana pamoja nao kwa jina la YESU

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Jamani wanajukwaa: kesho tunaanza rasmi kufunga, epuka kutoa lugha chafu yaani kukwaza na kukwazuka, epuka kuonyesha huzuni kwani funga ni furaha na ni ibada, epuka Kula chakula kingi kwa mara 1 unapofungua,
Unapofungua anza na vyakula laini na subiri muda upite ndipo upate chakula a kwa kiasi.

Muda wa kufungua kula ni baada ya jua kuzama Wastan ya saa 12 kijioni na pia mwisho wa kula ni saa 9 alfajiri
 
Unafuturisha
 
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani wanajukwaa: kesho tunaanza rasmi kufunga, epuka kutoa lugha chafu yaani kukwaza na kukwazuka, epuka kuonyesha huzuni kwani funga ni furaha na ni ibada, epuka Kula chakula kingi kwa mara 1 unapofungua,
Unapofungua anza na vyakula laini na subiri muda upite ndipo upate chakula a kwa kiasi.

Muda wa kufungua kula ni baada ya jua kuzama Wastan ya saa 12 kijioni na pia mwisho wa kula ni saa 9 alfajiri
Haya shinda njaaa salamaa
 
Jamani habarini za asubuhi?, huduma yetu ya kufunga imeanza.
Tafadhali tuonyeshe mayendo ya wema kwa wenzetu kama,

Kuwaapisha kwenye vitu wazee au wajawazito wagonjwa na misaada mingine.
Tusitumie lugha mbaya na kuacha hasira yaani tuwe wapole.
Kumbuka kuomba zaidi ya mara 3 popote ulipo.
Usiache kwenda kazini au kufanya shuguli zako kwa sura ya Tabasamu.
Kumbuka tunaiombea Ukrain, USA na na NATO Mungu astpishe vita kwao na hao watesi wa watu wasipoacha haraka Wafe wao ili vita iishe.
 
Zainabu sembe
 
Back
Top Bottom