kuna group telegram linaitwa horror of war.
tuache masihara nyie warusi wanakufa jaman acha.
tuache tofauti zetu tuwaombee askar wa kirusi. yani ni wanakufa acha.
hivi jana nmeskia wanataka kufanya mobilizations nyingine.
kaaah!!! wanakufa jaman kama mbwa.
acha kushabikia vita na tuwaombee warusi wasife sana jaman.
nmeshindwa kuendelea na ile channel nmeleft in peace.
kama mbwa?
au nitupia picha zao nini. ?
ili mpate uchungu wa kuomba kama binadamu binafsi nimeguswa.
mkiona russia inatarget raia muwe mnaelewa.
hawana jinsi wanapitia maumiv makubwa sana ya kisaikolojia juu ya askar wao. walio kuwa mbolea.
kama bkhmut ndio paua kichwa kabisaaa.
pray for russians.
wanakufa wanakuja wengine wanakufa wanakuja wengine na wengine na wengine.
PUTIN stop killing your soldier