Siku 200 za Lowassa UKAWA

Siku 200 za Lowassa UKAWA

Zapa RadioFm

Senior Member
Joined
Feb 12, 2016
Posts
112
Reaction score
171
Hayo yapo kwenye nipashe
 

Attachments

  • IMG-20160213-WA0013.jpg
    IMG-20160213-WA0013.jpg
    51.7 KB · Views: 43
CHADEMA IMEIMARIKA MARA 1000,ZAIDI YA AWALI.
LONG LIVE CDM LONG LIVE UKAWA.
Imeimalikaje sasa?cdm uongozi ulifanya mambo ya mkanganyiko kibiashara,kwa nn kujifariji na mambo yalionekana?ni bola kutoa ushauli wa uchaguzi ujao,mtu aliyechafuliwa alikuja kulipa kisasi cdm na watu hawastuki tu aisee! na wengine wakakubali jamaa aje alipe kisasi wakalamba pesa,mapenzi ya chama pasi kufikili kwa kina tukaishia kutoa pongezi ni kujidanganya
 
Cdm kuwaamini unatakiwa uwe na akiri ya kushikiwa. Imeimaritka wapi cdm? Hatumssikii mwenyekiti wala katbu chama ameachiwa lowasa
Walishamuuzia hiyo Saccos. Ndiyo maana kasema atagombea tena 2020. Hakuna mtu mwingine kutoa pua yake.
 
Ni mafanikio ya kubadilisha gia angani,tukianza kujibu mapigo eskrow/mabehewa,mabovu/mita hazisomwi tutaubadili upepo
 
Kipi kaongeza kwenye taifa?

Angetimiza ahadi yake akishindwa uchaguzi anaenda kuchunga ng'ombe

Badala yake kabanana hapa mjini kutafuta kiki

Haaminiki huyo fisodo
 
Siku 200 za Lowasa,cdm imejizika,wote kimya na kwa kuwa hakuna skendo za kuwabeba hata bungeni no sera.
 
Ni mafanikio ya kubadilisha gia angani,tukianza kujibu mapigo eskrow/mabehewa,mabovu/mita hazisomwi tutaubadili upepo
Madudu yalikuwa mengi sana awamu ya 4...hiyo ndo nafasi pekee mliyokuwanayo ila mkachemka kwa kupokea mapandikizi ya chichiemu..subirini muone kama hilo jahazi litatoa nanga hapo
 
Back
Top Bottom