Siku 100 za Serikali ya CHADEMA madarakani

Ee Mungu tunakuomba kwa wema na huruma yako umfanyie wepesi wa ushindi mja wako Tundu Lissu! Ukafanye maajabu na miujiza kwa wote walio kinyume nae, wapotelee mbali, Walelgee na Washindwa kwa Jina lako Takatifu! Amen!
 
MAMBO YA SIKU 100 ZA KWANZA

Ndani ya siku 100 tangu siku ya kuapishwa kwa Rais na Wabunge, watakaokuwa wamechaguliwa, Serikali ya Chadema itafanya
taratibu zinazohusika ili kuhakikisha yafuatayo yanatendeka:

i) Serikali itapeleka Bungeni Muswada wa Sheria ya Maridhiano, ambayo pamoja na mambo mengine itaanzisha Tume ya Maridhiano kwa lengo la kuondoa hofu ya uwezekano wa vitendo vya kulipiza visasi na kuunganisha nguvu za wananchi wote bila ubaguzi wa vyama katika kuongoza Taifa letu.

ii) Serikali itapeleka Bungeni Muswada wa Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi juu ya Utoaji wa Elimu Bure kuanzia elimu ya awali hadi Sekondari.

iii) Serikali itapunguza kiwango cha marejesho ya mikopo ya elimu ya juu hadi kufikia asilimia tatu (3) ya mshahara wa mnufaika na kutanua wigo wa muda wa marejesho hadi kufikia miaka 25 tangu mnufaika apate ajira. Aidha, Serikali itafuta riba na tozo zote zitokanazo na adhabu ya kuchelewesha marejesho ya mkopo wa elimu ya juu.

iv) Serikali itashirikiana na sekta binafsi kuweka utaratibu wa kutoa huduma za afya ya msingi kwa wananchi bila malipo.

v) Serikali itarejesha mchakato wa Katiba Mpya kuanzia ilipoishia Rasimu ya Tume ya Marekebisho ya Katiba ya Jaji Warioba

vi) Serikali ya Chadema itatekeleza matakwa ya Katiba kuhusu Tume ya Pamoja ya Fedha ya Muungano ili kila nchi Mshirika wa Muungano ipate mgao wake wa fedha kwa mujibu wa Katiba na sheria.

vii) Serikali ya Chadema itarejesha uhuru wa vyombo vya habari ikiwa ni pamoja na kuruhusu vyombo hivyo kurusha moja wa moja vikao vya Kamati za Bunge, Mikutano ya Bunge na Mwenendo wa Uendeshaji wa Mashauri Mahakamani.

viii) Serikali ya Chadema itapeleka miswada ya Sheria Bungeni kwa madhumuni ya kuzifuta Sheria zote kandamizi na zinazokiuka misingi ya haki za binadamu.

ix) Kuanzisha utaratibu wa mazungumzo kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Zanzibar kwa lengo la kufikia muafaka juu ya utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi, uvuvi wa bahari kuu na usajili wa meli.

x) Serikali ya Chadema itaandaa mazingira rafiki na wezeshi kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari walioshindwa kuendelea na masomo kwa sababu mbalimbali kama vile ugonjwa, kukosa ada, mimba n.k. kurejea kwenye mfumo rasmi wa elimu na kumalizia masomo yao.

xi) Serikali ya Chadema itapeleka bajeti ya Nyongeza Bungeni katika mwaka wa fedha 2020/2021 kwa ajili ya kuongeza Mishahara ya watumishi wote wa umma, kulipa malimbikizo; sambamba na kuwapandisha madaraja watumishi wenye sifa na kulipa mishahara inayoendana na madaraja yao.

xii) Serikali ya Chadema itaanzisha bima maalum ya afya kwa watumishi wote wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wawapo kazini na baada ya kustaafu vikiwemo Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zima moto na Uokoaji.

xiii) Serikali ya Chadema itarejesha maduka yasiyotozwa kodi (Duty free shops) katika vyombo vya ulinzi na usalama vikiwemo Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uokoaji.

xiv) Serikali itapeleka Bungeni Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Hifadhi ya Jamii ili kurekebisha kikokotoo cha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa wastaafu ili kiendane na mahitaji ya wastaafu. Aidha, Serikali ya Chadema itaruhusu wafanyakazi na watumishi waliochangia katika mifuko ya jamii kuchukua mafao yao wakati wowote (fao la kujitoa).

xv) Serikali ya Chadema itaweka utaratibu na kuwatafutia masoko wakulima, wavuvi na wafugaji ya kuuza mazao yao ndani na nje ya nchi bila kizuizi.

xvi) Kurejesha utaratibu wa awali wa ukusanyaji wa kodi, ushuru na tozo mbalimbali kwa mamlaka ya serikali za mitaa

View attachment 1554779
Ha ha madarakani Ufipa?. Ndoto za mchana hizi.
 
CHADEMA watengeneze vipeperushi (kwa maelfu) vya haya mambo ya siku 100 na kugawa kwenye mikutano ya kampeni. Wasisubiri magazeti yaandike au kuyasemea kwenye mikutano. Yapo in summary hivyo ni rahisi kutosha kwenye kipeperushi. Napendekeza na hii picha iwepo ama na nyingine zenye watu wengi.
 
KWA ILANI HII
Watu wa Chama cha Rangi ya Mboga mboga wataambulia Vilaza tuuu wasiojua maana ya ilani ,wanaobabaika na Nyimbo za wasanii jukwaani na urembo wa mkutano wa kampeni.

Watanzania wengi anaojitambua huu ndio mwanzo wa Tanzania Mpya yenye neema isiyo na visasi wala kuoneana.
Tutapata katiba Mpya tutakayoitunga menyewe.

Tutapata nafasi ya Kujadili Muungano vile ambavyotunapenda.

Waznzibari tukitolewa hofu ya kumezwa Hatuna shida na Ndugu zetu wa Tanganyika, Tutaendelea vizuri bila ya kubugudhianakama wanavyotufanya CCM.
 
Haui, hateki, hajeruhi kwa risasi, hana visasi, siyo mkabila, siyo mkanda, siyo chizi wa kuropoka na huwezi kabisa kumfananisha na Lisu
Lissu hana mpinzani. Wanajeshi, polisi, NEC imeshakubali yaishe.
 
Back
Top Bottom