I igum Member Jul 10, 2016 53 30 Aug 4, 2016 #1 Baraza la madiwani limewafukuza kazi watumishi 3, Afisa Utumishi(W) aacha kazi ndani masaa 24.
UncleBen JF-Expert Member Oct 27, 2014 9,598 11,993 Aug 4, 2016 #5 Baraza la madiwani limemfukuza kazi DC ??
mcubic JF-Expert Member Mar 3, 2011 10,306 6,514 Aug 4, 2016 #6 Haya umeanza ww kupost.....wacha tusubiri taarifa za kina
Wissman JF-Expert Member Dec 12, 2014 1,011 1,279 Aug 4, 2016 #9 Upo kwenye bodaboda nini? Maana watakaoelewa ni wachache mno. Tunaomba ukishuka uandike kwa kirefu
Simiyu Yetu JF-Expert Member Apr 29, 2013 18,949 4,633 Aug 4, 2016 #10 Uandishi mwingine wa kilevi kweli.
UncleBen JF-Expert Member Oct 27, 2014 9,598 11,993 Aug 4, 2016 #11 igum said: UncleBen soma vzr post Click to expand... Mkuu umeandika hivi ,"kimenuka Sikonge DC,watumishi wafukuzwa kazi " Hapo sijui ulikua na maana gani mkuu ,ndio maana nikauliza
igum said: UncleBen soma vzr post Click to expand... Mkuu umeandika hivi ,"kimenuka Sikonge DC,watumishi wafukuzwa kazi " Hapo sijui ulikua na maana gani mkuu ,ndio maana nikauliza
B bagamoyo JF-Expert Member Jan 14, 2010 21,328 24,233 Aug 4, 2016 #12 igum said: UncleBen soma vzr post Click to expand... Bado hausomeki wala haujaeleweka, ongeza ''nyama nyama'' ktk habari yako toka Sikonge.
igum said: UncleBen soma vzr post Click to expand... Bado hausomeki wala haujaeleweka, ongeza ''nyama nyama'' ktk habari yako toka Sikonge.
I igum Member Jul 10, 2016 53 30 Aug 4, 2016 Thread starter #14 Sikonge DC maana yake Sikonge District Council , kwa kiswahili Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge
M mwembemdogo JF-Expert Member Feb 28, 2016 2,282 1,251 Aug 4, 2016 #16 Igum unapotoa taarifa toa ya kueleweka ni akina nani, majina, kosa ni nini Na kikao gani sio unakurupuka tu
Igum unapotoa taarifa toa ya kueleweka ni akina nani, majina, kosa ni nini Na kikao gani sio unakurupuka tu
Faana JF-Expert Member Dec 12, 2011 31,925 33,376 Aug 4, 2016 #17 Kete Ngumu said: Huu uandishi kiboko Click to expand... Kaandika kama vile alitumwa akachukue updates za kikao walichokiacha kinaendelea
Kete Ngumu said: Huu uandishi kiboko Click to expand... Kaandika kama vile alitumwa akachukue updates za kikao walichokiacha kinaendelea
McDonaldJr JF-Expert Member Sep 25, 2013 6,388 7,551 Aug 4, 2016 #18 Naona kawahi kuleta taarifa kabla wengine hawajaileta umu.
LOTH HEMA JF-Expert Member Dec 6, 2015 13,286 18,031 Aug 4, 2016 #20 Uandishi gani huu wa mwendokasi?