MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Sisi wanasingida Mashariki na Wanaikungi kwa ujumla tuna sema, Tundu Lissu ataendelea kuwepo sana kama mbunge wetu, tena ikiwezekana hata awe mbunge wa maisha mpaka hapo atakapoamua yeye kutogombea Ikungi Magharibi.
Tulitaka aende kuwatetea na ndugu zetu wa Singida mjini lakini sasa figisufigusu zenu za kuchelewesha pesa za maendeleo Ikungi ndio zinatufanya tuendelee kumhitaji zaidi. Singida Magharibi CCM mtu hatii mguu kogombea kushidana na Lissu, hilo jimbo lishakua na mwenyewe.Ameshindwa kaka yake mara mbili mfululizo sijui mtamweka nani ashindane nae tena. Kuna taarifa kua DC Mtaturu anataka abaki pale pale, tena sio mzawa wa Ikungi ajaribu aone atakavyogaragazwa.
"Lessu mnyikimbu na Gidea witru mutruja mumudahee kukhae" Tatizo linalowaumiza ni kwamba the man is a national figure, mnataka kumnyamazisha kwa kumpokonya jimbo hamuwezi ng'ooo.
Nimesema kwa niaba ya wana wa Ikungi, hutaki kuelewa sawa tu lakini kidogo tu 2020 sio mbali mtaona.