mawelewele
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 277
- 135
Mnyampaa umemaliza yote. Miezi kadhaa iliyopita nilikuwa pale Issuna nilishangaa sana! Mpaka wazee unashangaa wanatembea na picha Lissu mfukoni. Ukiwauliza kwa nini? Wanakuambia Antipas ndio heshima yao nje ya Singida na utambulisho wao mkubwa na wanavyo msumbua mtoto wao huyo ndivyo mapenzi yao kwake yanavyo ongezeka.Sisi wanasingida Mashariki na Wanaikungi kwa ujumla tuna sema, Tundu Lissu ataendelea kuwepo sana kama mbunge wetu, tena ikiwezekana hata awe mbunge wa maisha mpaka hapo atakapoamua yeye kutogombea Ikungi Magharibi.
Tulitaka aende kuwatetea na ndugu zetu wa Singida mjini lakini sasa figisufigusu zenu za kuchelewesha pesa za maendeleo Ikungi ndio zinatufanya tuendelee kumhitaji zaidi. Singida Magharibi CCM mtu hatii mguu kogombea kushidana na Lissu, hilo jimbo lishakua na mwenyewe.Ameshindwa kaka yake mara mbili mfululizo sijui mtamweka nani ashindane nae tena. Kuna taarifa kua DC Mtaturu anataka abaki pale pale, tena sio mzawa wa Ikungi ajaribu aone atakavyogaragazwa.
"Lessu mnyikimbu na Gidea witru mutruja mumudahee kukhae" Tatizo linalowaumiza ni kwamba the man is a national figure, mnataka kumnyamazisha kwa kumpokonya jimbo hamuwezi ng'ooo.
Nimesema kwa niaba ya wana wa Ikungi, hutaki kuelewa sawa tu lakini kidogo tu 2020 sio mbali mtaona.
Nayo T Z bila chi chi em inawezekana NduguTanzania bila Lissu haiwezekani.
Wanamkubali kimya kimya.Heee? Kwani Lumumba leo hawapo? Nashangaa kati ya comments 12, zote zinamsifia Lissu.
Hata mimi kati ya watu naowaelewa kwa sasa Tanzania hii, ni Lissu
Sent using Jamii Forums mobile app
LISSU the Great!!!!!Sisi wanasingida Mashariki na Wanaikungi kwa ujumla tuna sema, Tundu Lissu ataendelea kuwepo sana kama mbunge wetu, tena ikiwezekana hata awe mbunge wa maisha mpaka hapo atakapoamua yeye kutogombea Ikungi Magharibi.
Tulitaka aende kuwatetea na ndugu zetu wa Singida mjini lakini sasa figisufigusu zenu za kuchelewesha pesa za maendeleo Ikungi ndio zinatufanya tuendelee kumhitaji zaidi. Singida Magharibi CCM mtu hatii mguu kogombea kushidana na Lissu, hilo jimbo lishakua na mwenyewe.Ameshindwa kaka yake mara mbili mfululizo sijui mtamweka nani ashindane nae tena. Kuna taarifa kua DC Mtaturu anataka abaki pale pale, tena sio mzawa wa Ikungi ajaribu aone atakavyogaragazwa.
"Lessu mnyikimbu na Gidea witru mutruja mumudahee kukhae" Tatizo linalowaumiza ni kwamba the man is a national figure, mnataka kumnyamazisha kwa kumpokonya jimbo hamuwezi ng'ooo.
Nimesema kwa niaba ya wana wa Ikungi, hutaki kuelewa sawa tu lakini kidogo tu 2020 sio mbali mtaona.
Sasa sio Lowasa tena.MY NEXT PRESIDENT OF TANZANIA
swissme
Singida zaidi ya Alizeti wamelipa taifa Tundu Lissu.Mnyampaa umemaliza yote. Miezi kadhaa iliyopita nilikuwa pale Issuna nilishangaa sana! Mpaka wazee unashangaa wanatembea na picha Lissu mfukoni. Ukiwauliza kwa nini? Wanakuambia Antipas ndio heshima yao nje ya Singida na utambulisho wao mkubwa na wanavyo msumbua mtoto wao huyo ndivyo mapenzi yao kwake yanavyo ongezeka.
Kuhusu vijana ndio usiseme kabisa!
Endeleeni kumtia ujinga hivyo hivyo! Aache ya kwao ajenge yenu kisha mje mtukana baadae kuwa ni msaliti na anatoka mkoa maskini kwa wavivu...Singida zaidi ya Alizeti wamelipa taifa Tundu Lissu.
kwani anayekusanya kodi za ikungi ni lissu?Endeleeni kumtia ujinga hivyo hivyo! Aache ya kwao ajenge yenu kisha mje mtukana baadae kuwa ni msaliti na anatoka mkoa maskini kwa wavivu...
Ni heri hata angeboresha hiyo alizeti kuliko sifa za kijinga mnazompa awajengee chama kisha Ruzuku mpeleke migombani.
Siku yake ipo atakumbuka shuka kumekucha akiona singida kumebaki vumbi tu ila huko migombani kumenawiri kwakua yeye yupo too busy na kelele ila nyie mpo busy divert project ziende migombani.
Mna dhambi ya mauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kwamba we ndo mjinga wa kwanza nani sasa zaidi yakoEndeleeni kumtia ujinga hivyo hivyo! Aache ya kwao ajenge yenu kisha mje mtukana baadae kuwa ni msaliti na anatoka mkoa maskini kwa wavivu...
Ni heri hata angeboresha hiyo alizeti kuliko sifa za kijinga mnazompa awajengee chama kisha Ruzuku mpeleke migombani.
Siku yake ipo atakumbuka shuka kumekucha akiona singida kumebaki vumbi tu ila huko migombani kumenawiri kwakua yeye yupo too busy na kelele ila nyie mpo busy divert project ziende migombani.
Mna dhambi ya mauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kumtia ujinga then kesho mumtukane kuwa ni msaliti!kwani anayekusanya kodi za ikungi ni lissu?