Sikia hii ya wacheza karata porini.

Sikia hii ya wacheza karata porini.

Piere. Fm

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
2,261
Reaction score
1,253
Jamaa wawili walikuwa wakicheza karata porini mara wakapita wakulima wawili, wakasikia sauti "weka jembe chini" wao walijua majambazi wakaweka majembe yao chini "weka kisu" wakaweka visu vyao chini "naomba kopa" wakaangaliana hawana kopa, "kama huna kopa weka mavi chini" ikabidi m1 atoe haja kubwa palepale "mara wakasiki huna mavi lamba" ikabid yule ambaye hajaweka haja kubwa arambe mavi ya mwenzake, mara wakasikia "game over" wakashtuka haah! Wanacheza karata.
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaahaahaahaahahahahaa ha ha ha haaa
 
copy and ............................

wabongo tusipende sana kuweka vitu tusivyovi-create wenyewe coz ukiona mtu anakusimulia kichekesho wengi wamevisoma humu humu
 
copy and ............................

wabongo tusipende sana kuweka vitu tusivyovi-create wenyewe coz ukiona mtu anakusimulia kichekesho wengi wamevisoma humu humu

poa Creator!!
 
umetisha sana mzaz.sijui ingekuwaje angemwambia lamba na ya ulevi.angeyalamba mara2
 
hahahaha ha ha ha ha alambe na ya ulevi
 
ipo kwenye cd za comedy,kama sikosea alicheza marehemu sharo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom