Haaaaaaa alafu wanaume wa hivi hata akiambiwa arushe elfu kumi atakuja na uzi mwingine humuUkiona zako sinasomwa alafu hakujibu ujue kakudhalau jiangalie kwanza wewe utapata magonjwa ya moyo kisa mtu uliyemkuta na meno.yote
Hapo itapendwa miamala sasa na sio mtuFanya hivi we tia muamala asubuhi usiongee mchana tia muamala usibweke jion tia muamala usibweke fanya km week tu akiruka hapo uyo ni shetan mkata kamba
Me sina haja ya kupendwa mwanamke atanitii kwa mihamala tu inatoshaHapo itapendwa miamala sasa na sio mtu
Nani wakike kati yenu or sory nani mkubwa kati yenu
Mrejesho pleasewakuu, kuna binti nlikuwa namuelewa so ikabidi nimfate nimueleze kilicho rohoni mwangu, basi mtoto akawa anarukaruka, anajidai mara sms hajibu, na mambo mengi tulianza taratibu kuzoeana lakini shobo kwa huyu dada haziishi sasa jana nkawa watsap nkamuona online nkam-text, hakujbu akawa anatoka anaingia nkamtext tena kimya ila hyo tabia waga anayo, nkamuambia acha dharau, lol mtoto kanibadilikia kapanic kasema na namba yake nifute,na ukweli nampenda je nifanyeje? maana binti kashantakia maisha mema
wewe utakuwa under 17 ....unamwambiaje aache dharau,,...hapo hujamuimpress bado......unapanic kabla hata hajakujibu text ushamshambulia aache dharau...we umejishtukia..sio lazima akujibu...AAA NILISAHAU KUMBE UMEPENDA AA SIO KOSA LAKOwakuu, kuna binti nlikuwa namuelewa so ikabidi nimfate nimueleze kilicho rohoni mwangu, basi mtoto akawa anarukaruka, anajidai mara sms hajibu, na mambo mengi tulianza taratibu kuzoeana lakini shobo kwa huyu dada haziishi sasa jana nkawa watsap nkamuona online nkam-text, hakujbu akawa anatoka anaingia nkamtext tena kimya ila hyo tabia waga anayo, nkamuambia acha dharau, lol mtoto kanibadilikia kapanic kasema na namba yake nifute,na ukweli nampenda je nifanyeje? maana binti kashantakia maisha mema