Subiri akiachwa na anayemzuzua atakujibu text zako....ndowalivyo tena akiyumbishwa na jamaa kidogoo anakupa hadi mzigo ww endelea na hizo text kila siku atachokaa mwenyewe ila usome udhaifu wake na wewe sio unasubiri Muujiza!!!wakuu, kuna binti nlikuwa namuelewa so ikabidi nimfate nimueleze kilicho rohoni mwangu, basi mtoto akawa anarukaruka, anajidai mara sms hajibu, na mambo mengi tulianza taratibu kuzoeana lakini shobo kwa huyu dada haziishi sasa jana nkawa watsap nkamuona online nkam-text, hakujbu akawa anatoka anaingia nkamtext tena kimya ila hyo tabia waga anayo, nkamuambia acha dharau, lol mtoto kanibadilikia kapanic kasema na namba yake nifute,na ukweli nampenda je nifanyeje? maana binti kashantakia maisha mema
Mweeee jamani siyo kwa ushauri huuSasa ndugu yangu umeambiwa uchape lapa unakuja kutuuliza sisi
Umeambiwa na namba uifute kwani hio button ya "delete contact" iko huku JF?
Futa namba yake tembea mbele
teh teh bahati yako hajui kublock
Hiv ustadh yupo ha ha ha haKwa kipindi hiki cha likizo nenda kasome tuition kwa Mtegetwa au kwa Ustadh
Wanafungua trh 24 April hahahamnafungua lini shule?
HahahahahahahahhahahaNani wakike kati yenu or sory nani mkubwa kati yenu
hahaha, daaah itakua kashtkia una kibamia😀😀😀wakuu, kuna binti nlikuwa namuelewa so ikabidi nimfate nimueleze kilicho rohoni mwangu, basi mtoto akawa anarukaruka, anajidai mara sms hajibu, na mambo mengi tulianza taratibu kuzoeana lakini shobo kwa huyu dada haziishi sasa jana nkawa watsap nkamuona online nkam-text, hakujbu akawa anatoka anaingia nkamtext tena kimya ila hyo tabia waga anayo, nkamuambia acha dharau, lol mtoto kanibadilikia kapanic kasema na namba yake nifute,na ukweli nampenda je nifanyeje? maana binti kashantakia maisha mema
Nilienda Kitambo sana sijui kama yupo. Nawe ulikuwa mdau wa mapindi pale?Hiv ustadh yupo ha ha ha ha
Ndio maanakeNilienda Kitambo sana sijui kama yupo. Nawe ulikuwa mdau wa mapindi pale?
Hahaha kama nakujua vileNdio maanake
Hunijui bhana ,princeHahaha kama nakujua vile
Haha najukujua au nianze kueleza shule uliyokuwa unasoma iliyopo karibu na kuleHunijui bhana ,prince