Sijui umelewa nini?! Madawa, Viroba au Madaraka?

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,833
972
Wadau,

Heri yenu ninyi manaoelewa ila kwangu ni giza nene mbele yangu.

Yaani wewe ndio mwenye nyumba na eneo lote la ardhi ni mmiliki ni wewe kwa mujibu wa mkataba. Kisha anakuja mpangaji, unampangisha baada ya miezi anautangazia umma kuwa amekupatia zawadi ya sehemu ya ardhi ili ufanye shughuli zako tena ndani ya eneo lako la umiliki kamilifu.

Hii ndio Tanzania ambapo muwekezaji anamgawia mkuu wa mkoa ardhi! Aliyesema serikali ina shida na ardhi ni nani???????????

Haya sasa tumemegewa kipande huko Kigamboni.....

Tanzania nchi yangu nakupenda kwa moyo wote! Ila MOYO sukuma DAMU, ardhi muachie mwekezaji.
 
Huyo Mwekezaji Amekodishwa Kwa Miaka 99 Na Alilipa Fidia Kwa Watu Ili Kupisha Ktk Ardhi. Ni Mali Yake Kwa Miaka Hiyo Yote
 
Back
Top Bottom