Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,850
- 37,561
- Thread starter
-
- #161
....wangefunguka tu km wanavyonishauri hapa,who knwsInawezekana na wengine nao wako kwenye situation kama yako. Yaani wanajiuliza wakifunguka ukawakatalia watajisikiaje? Na hivi tayari ulishaonesha kuwa umamtaka huyo peke yake basi wanaishia kuumia kimoyomoyo tu.
...gat u...kweli mapenzi ya kweli ni machacheeee,unaempenda hakupendi,anaekupenda humpendi....!Wala sijakariri bibie, ila ni kweli watu wenye mapenzi ya dhati wapo wachache siku hizi, au uongo?
Afu nikisema watakufariji namaanisha lazma ujisikie vibaya kama utafanya approach yoyote then akupe negative attitude, lazma utqjisikia vibaya, kwa iyo jiandae kwa yote!
...gat u...kweli mapenzi ya kweli ni machacheeee,unaempenda hakupendi,anaekupenda humpendi....!
coz cyataki hayo ya upande wa pili wa kujickia vibaya, basi, bora niumie tuuuuuuuu..muda utaongea
What r those little things?
U got the point...
time will tell, ila kama vipi nipo bibie....I'll make u the happiesr beibe on earth, teeeh!
Lady Doctor mi hujanijibu bado,hili jina lina nn,niendelee kulitakasa kwa damu ya Yesu!
....ha ha haaaaa,nimecheka ww lady doctor,hizi little things .........
Nashauri umtege kuliko kumwambia kwani kumwambia inategemeana na akili yake na utambuzi nafsi alo nao yaweza kukuchukuliua mala.ya kama hajui jinsia yako ni huru sasa toka utumwa wa mapenzi now ni anayewahi kutamka japo historia imebadilika juzi tu huenda ana kitabu cha zamani ukiwa bado mtumwa. Waweza sema akakubali akala kwa kujihami then akakupiga chini maumivu ukapata tena zaidi ya haya kisa ulianza mpigia misele wewe!Yaani siamini km nimependa tena jamani!!
...I real lov him 2 the xtent cwez elezea!
..tatizo langu nitatokaje hapa,hv tried bt nashindwa,najikuta naumia!coz i knw he s nt there 4 mi!!nishapungua 1kg jamani coz nashindwa ht kula vzr!! uwiiiiii
NB:he s jus a friend
little things = kutuma SMS, kuomba vocha, kuomba kutoka kwenda mlimani city au uchumi supermarket
my dear, we endelea tu kulitangaza jina la CHRISTINE ili mataifa yote ya sikie na kulisifu jina hili takatifu nami nitaweka mkono juu ya hili jina nikiamuru kila lililo baya lishindwe na lililo jema liweze kuupa utukufu wa jina hili takatifu.
Nashauri umtege kuliko kumwambia kwani kumwambia inategemeana na akili yake na utambuzi nafsi alo nao yaweza kukuchukuliua mala.ya kama hajui jinsia yako ni huru sasa toka utumwa wa mapenzi now ni anayewahi kutamka japo historia imebadilika juzi tu huenda ana kitabu cha zamani ukiwa bado mtumwa. Waweza sema akakubali akala kwa kujihami then akakupiga chini maumivu ukapata tena zaidi ya haya kisa ulianza mpigia misele wewe!
Faida ya kumtega ni moja kama hataki hakuna tatizo litaongezeka ila ukisema akakataa urafiki wa weza vunjika na akakutana na mambulula kadhaa wakakuteta kwa mabaya, mtaani ukanyea kambi chini ya kocha wako utashinda kwa madahaa! Mafanikio mema!
Haya Christine, na LD ni mtaalamu sana katika hii discipline..ha haaa...lady doc ataniambia 'little things ni zip'...Mokoyo ww tulia tu nipewa maujanja na doctor
Eeeeeh! Wenzio wanaomba sana aisee, wacha kabisahahahaaa...... We Mokoyo wewe, sio hizo bana, mambo ya kuomba vocha ya kitoto ujuee tena wa primary!!!!!!!!
Kocha naanza kazi leo! ili ushinde mechi hii! malipo nataka kujua kabla ya yangu kazi!Teh teh, jf kiboko.....basi sawa
Amennnnnnn in Jesus name
Kocha naanza kazi leo! ili ushinde mechi hii! malipo nataka kujua kabla ya yangu kazi!
Mtanange siwezi omba kwa sababu hatuwezi shinda mechi kwa wivu ntaanza na lengo halitatimia ntakuwa nimeharibu cv yangu kwa kushindwa mechi ndogo! mzigo nikitaka siwezi omba kucoach! mistari ntamimina bila chambo kutumia samaki ntamvua!wewe JM, unataka malipo gani??? Maana hukawii kuomba malipo ya mtanange(game), husomeki
Mtanange siwezi omba kwa sababu hatuwezi shinda mechi kwa wivu ntaanza na lengo halitatimia ntakuwa nimeharibu cv yangu kwa kushindwa mechi ndogo! mzigo nikitaka siwezi omba kucoach! mistari ntamimina bila chambo kutumia samaki ntamvua!
Nashukuru kwa kuliona ni wachache wanatambua! (maana yangu ni kwamba wewe ni moja ya watu wachache makini sana)haya kamanda, sentensi zako zimekaa kimashairi zaidi....I mean ni nzuri.........