Ni bora abaki rafiki yako. ni wanaume wachache wanaweza kuchukulia kwa uzito mwanamke anapo kuwa wa kwanza kusema amependa anaweza kukubalia lakini uzito utakuwa tofauti sana kama angekuwa yeye ni wa kwanza kuweka wazi.
Ni wazi hawezi kuwa anakupenda kama unavyompenda na hata akikwambia anakupenda kama wewe unavyo mpenda muogope maana haiwezekani kabisa mkapendana sawa.
Niwazi unamuona ni nyc au kind sababu ni best friend na hakuna igizo rahisi kulicheza kama lakuwa best friend, hapo kila mtu lazima aonekane nyc, lakini linapokuja swala la mapenzi panakuwa pagumu sana maana makucha yote si rahisi kuyaficha.
Katika mchezo wa mapenzi wanawake wengi wanajua kuvaa uhusika vizuri sana na ni wazi wewe unampenda kwa dhati, lakini unatakiwa kujiuliza furaha yako inashikiliwa na nani? wewe unashindwa kula hadi unapungua, hivi unategemea ni nani atakwambia ule kama si wewe kuamua kula? furaha yako umeishika mwenyewe si mwingine? unaweza kuwa na hali mbaya zaidi kama utakataliwa ombi lako.
Sikukatishii tamaa lakini ni wazi best friend ni mzuri anapo baki kuwa best friend.
....ofcoz he s the 1 who s going to remove mi frm this boundage. peke yangu cwezi
Hahahahaaa.......ana hela? hahahaaaaa.....
Mapenzi ya kuanza uzeeni yana taabu sana
Kuhisi si tatizo ni nature! Tumeumbwa namna hiyo, na hatujui kwann aliyetuumba kafanya ivyo.
Hofu ni kutumiwa na kuachwa! Tunajitahidi kujichunga tusitumike ovyo ovyo mpk tuolewe mind you!
Sasa kumwambia na kukataliwa haina shida saana, kama kukubaliwa ukatumika and then mtu akasepa...
simply hakukupenda..
Kama kila unayemuaproach anakubali analala na wewe mwisho anasepa kwa mwanamke haifai...
Wanaume hata achovye na kuachwa au kuacha mara mia sio tatizo!
Nafikiri umenielewa.
mh dada nahofia majeraha ya moyo na wanaokuja sasa matapeli tu naona ni bora nipumzike kwanza...Unajikosea mpenzi! utazeeka a bitter woman! Funguka uenjoy life bana. Maisha yenyewe hayahaya, Akikusaliti Brian, yupo George kwaaajili yako! Funguka baby......
Swali zuri sana kibibi Jongoo bora uulize wewe hivi wanaume wanajisikiaje wakianza kuambiwa wanapendwa au tuanzishe uzi huo?Anajilengesha kwa vp sasa? Kwani wewe ukimtongoza mwanamke unakuwa umejilengesha? Yeye kakupenda kakwambia sasa kwako wewe hiyo ni mbaya? Si mnatafutaga wenye mapenzi ya dhati, sasa mapenzi ya dhati ni mpaka wewe uanze? Huoni anayekuanza ndiyo mzuri zaidi kwavile anapunguza stress za kuwaza unapendwa kweli?
Nijibu bac natamani kujua wanaume mnajisikiaje kuanzwa kuambiwa mnapendwa!
Mtu 8 yaani Xriss hapo kaoza kafa, anamuhitaji kuliko maelezo mpaka anapoteza uzito! Chezea mapenzi wewe!
Yup...true that!
Ukichelewa, wengine watamwahi kwahiyo fanya haraka mwambie ukweli,mwanaume husikia raha mno anapoambiwa,nakupenda.
Swali zuri sana kibibi Jongoo bora uulize wewe hivi wanaume wanajisikiaje wakianza kuambiwa wanapendwa au tuanzishe uzi huo?
Sijakuelewa
Nini maana ya kutumika?
Kugegedwa! au na hiyo nayo niitafsiri? K milage inahusika zaidi hapo Eiyer!
Yap nadhani ni vizuri kuanzisha uzi huo.... Ili watu wawe huru na feelings zao! Ona Xriss anavoteseka!
K inaweza kutumika bila dishelele kutumika?
owkey...thanx,..kwa wote mliochangia kwa namna 1 ama nyingine mmenisaidia kufanya maamuzi magumu!
....jf idumu daima....
Halafu Eiyer bana,yaani unailiza wakati ndo nyie wa kwanza kusema mtu(gals) wametumika sana,kwani mkisema hivyo huwa mna maana hyo penis haikutumika?