Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,980
- 127,428
Afadhali...nikajua umenitosa
Wivu sina ingawa roho yauma
Hahahaa hutakiwi kuwa na wivu bwana wewe...la peke yako ni kaburi tu vingine vyoote tunashea
Afadhali...nikajua umenitosa
Wivu sina ingawa roho yauma
Tena umenikumbusha maziwa ya azam sijayapenda aisee sijui mwisho yana particles gani yani sijayaelewa
bagamoyo trip iko tayari jiandae kizunguzungu kiishe
katika hiyo trip yenu naomba na mie mniregister jamani napendaje kwenda huko ila sijui mnaenda
kileisure au mnaenda kutambika?