Sijui nisemeje? Nimemmiss Mentor jamani

Sijui nisemeje? Nimemmiss Mentor jamani

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini mabestito

Kwa kweli kuna kumiss kitu hapa duniani na kuna kuona fahari ukimuona rafikiyo hayuko
pande zile ulizomtegemea kuwepo na wakati mwingine ukipita pita katika anga hiizi unatumai
kuona Thread za Story zikiendelea kutoka kwake cha kushangaza huzioni tena
nini kimemficha, kimemuadimisha kiasi hichi bestito huyu Mentor ? .

Sasa ni kitambo kimepita bila kumtia machoni huyu mpendwa wangu wa mastory
yenye kufundisha na kusisimua sana, sijui yuko wapi kama ni kijijini si useme nije?
Kama ndo umshatumbukia tuma japo salamu huko huko uliko bestito jamani Mentor
umekuwa adimu sana kama shililingi ya nyerere u wapi mpiga stori wangu?

Nilivutiwa sana na story zako, zikawa zinanipa bakshasha kila nisomapo, uwapi best?

Pokea waraka wangu huu popote ulipo jua NIMEKUMISS sana tena sana

Maabestito nimemmiss tu msinifikirie vingine hapa ni bro wangu wa ukweeeee

Wasalamu

Ladyf
 
Last edited by a moderator:
Mentor nimempita mitaa ya kati yupo na naniliii kapark kabisa kama vile kafika
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli nimeamin unae mmiss hakumiss, asiye mmiss ana mmiss....teh teh nisaidien kuweka hii kitu vizur....Na maanisha Mi na-mmiss sana ladyfurahia yeye hanimiss na ladyfurahia anammiss mentor na mentor hajammiss.Na hii inaendaga mbal mpaka kwenye mapenz unampenda asiyekupenda na yeye anempenda hampendi.....Woh the world is not fair.
 
Last edited by a moderator:
Mentor...ndio nani...si useme uko desperate... Watu waje wakusaidie...we mambo ya chumbani unayaleta sebuleni.
 
Mentor.....ndio nani...we sema upo desperate... Watu wakusaidia....unatia huruma.
 
hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenichekesha sana best umenifanya nionekane nina furaha hapa job jamani kumbe hii kitu hipo ya kummiss asiyekumiss
Ama kweli nimeamin unae mmiss hakumiss, asiye mmiss ana mmiss....teh teh nisaidien kuweka hii kitu vizur....Na maanisha Mi na-mmiss sana ladyfurahia yeye hanimiss na ladyfurahia anammiss mentor na mentor hajammiss.Na hii inaendaga mbal mpaka kwenye mapenz unampenda asiyekupenda na yeye anempenda hampendi.....Woh the world is not fair.
 
siku akija hapa utamwona tu anayemisiwa ndipo utagundua kuwa kila mtu na chake bhana
sio kuombaomba kila kona unapita na kibakuli chahuuuuuuuuu heheheheheiyaaaaa
Mentor.....ndio nani...we sema upo desperate... Watu wakusaidia....unatia huruma.
 
mke mwenza achana naye huyu chuma cha reli yeye anadhani kila mtu anawaza upuuzi wake huo

kwani ukimmiss mtu ambaye ni rafikiyo mpaka uwe umetangaza nia achana nae huyo anahitaji msaada wa maombezi kabisa
 
Sawa mke mwenza....nimemsamehe buree
 
anajificha kwenye kona ya bakhera huyo kwani hujaona azam wametoa maziwa fresh siku hizi

Wacha weee mimi nilizoea ya ASAS duuu bakhresa mbayaaaaa ....
Ila kiukweli Mentor kaadimika looo huyu mtani wangu sana huyu sijui kajichimbia wapi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom