Sijui nisemeje? Nimemmiss Mentor jamani

Sijui nisemeje? Nimemmiss Mentor jamani

nahisi atakuwa amekwenda machimboni mererani maana yule naye huwaga hatabiriki kabisa
Wacha weee mimi nilizoea ya ASAS duuu bakhresa mbayaaaaa ....
Ila kiukweli Mentor kaadimika looo huyu mtani wangu sana huyu sijui kajichimbia wapi
 
halafu hawa mamods jamani sijui wanini na mm kitu kiko kule wao wanakimuvuzisha huku khaaaaaa!!!!!

Invisible upo kweli au nawe unatka kumisiwa hapa mpaka unaamua kumuvvuzisha tredi yangu?
 
Last edited by a moderator:
halafu hawa mamods jamani sijui wanini na mm kitu kiko kule wao wanakimuvuzisha huku khaaaaaa!!!!!

Invisible upo kweli au nawe unatka kumisiwa hapa mpaka unaamua kumuvvuzisha tredi yangu?

Mke mwenza thread ikija huku inabadilika???
 
Last edited by a moderator:
mie nimesikia umekuja mjini ukapata vibuzi vingine nikaona hutaki tena my offa...

Aaah wapi....hata kama nimepata vibuzi ofa yangu bado naitaka si weekend moja tu then narudi kwa vibuzi vyangu
 
Aaah wapi....hata kama nimepata vibuzi ofa yangu bado naitaka si weekend moja tu then narudi kwa vibuzi vyangu

haya jiandae sasa....anza mazoezi ya kiuno kabisa kunaweza kukawa hakuna kulala huko...
 
Back
Top Bottom