Cattigo
Senior Member
- Nov 12, 2016
- 194
- 396
MWANAFUNZI AMUULIZA MWALIMU SWALI
#mwanafunzi# :mwalimu eti ukichanganya Omo na Foma zitatoa povu..?????
MWALIMU KWA HASIRA :Swali gani hilo la kipuuzi lazima zitatoa povu sababu zote ni sabuni.
MWANAFUNZI :sasa wewe ndio una majibu ya kipuuzi zitatoaje povu wakati hujaweka maji,,???
_ baada ya apo sijui kiliendelea nini _