Mods like kwa Dr. Mo bill on me ha ha ha.nimeupenda ushauri wake.
Kuongezea kama alivyosema Kibol miezi sita ni michache sana.
Mie nilipata Girlfriend nikawa nae Mwaka mzima nikijifanya nina hali ngumu nn lakini alionyesha kunipenda, nikajua nimefika nikaanza waambia marafiki wa karibu kwamba huyu ndiye. Do sijui na yy alikuwa kajiwekea Mwaka wa kuficha makucha!!!, ikawa kila leo nagundua Jipya, mara hajui kupika hata Ugali hilo sio neno nika mfundisha, mara mizinga mikubwa mikubwa nilipo shindwa kabisa ni pale nilipogundua ni Mwongo haija wahi Tokea. Yote niliyo kuwa nayajua kwake ilikuwa ni uwongo! Hata juu ya wazazi wake alinidanganya, nikabwaga manyanga, nikamshukuru Mungu Kwa kunufunulia mapema kabla sijaanza harakati zozote.
So through my experience miezisita ni michache sana.