Sijui Nimtafune?

Nitumie number yake..nami nikamtatulie tatizo alilonalo kwa sasa..make wewe hutaki kumsaidia....
 
Usimle jamani solution ni kumwambia ukweli hutaki mazoea ya ajabu na umwambie una mpenzi ili hiyo crash imtoke.si makosa kufall in love jamani
 
Nasubiria mrejesho wako baada ya maamuzi yako.
 
Kuna ngwengwe jamani, naona tulishaanza kusahau kana kwamba dawa ipo
 
Toa number vidume tujimwaye mwaye
 
Hakukuwa na ulazima wa wewe kuchukua namba yake iwapo hukuwa na ajenda ya siri nyuma ya pazia...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…