Sijui Nimtafune?

Kama umeweza kumsaidia hilo tatizo lake likaisha kabisa, nadhani sasa ni muda muafaka wa kumtatulia tatizo la kugegedwa, maana pia ana tatizo la kutogegedwa muda mrefu na anaamini kuwa kugegeda pia kupo ndani ya uwezo wako, mgegede tu hakuna shida...
 
Naomba namba yake nimuulze kwnn anakfuatilia hvo
 
Umeshatoka JKT? watoto wenzako hawamo humu!
 
Inawezekana Raisi wa Malofa, una Sifa ama Muonekano wa KISAGAJI...

Avatar yako...Jina unalotumia...sio kila mtu anae kusimulia matatizo yake, ukayachukulia kama yalivyo...!!

BTW..mtoto amekuelewa, usiwe mkali wala usiturushie Mpira Vidume tubebe matatizo uliyo jikaribishia mwenyewe....!!

Kama una tabia hiyo, acha mara moja.
 
Ulishindwa kumsaidia bila kubadilishana no?matatizo mengne twajitakia wenyewe
 
hahhaahahahahahah yaani uchume kivyako utuletee we jamaa vipi hebu malizana na mtu wako kimya kimya
 
"...ni hatari kutafsiri hisia za mwanamke akiwa mpweke au akiwa na matatizo ya maisha...."

Utamaduni wa mtu Mweusi
 
Mkuu una akili saana, hii ni moja ya sababu kuu iliyokuwa inanifanya ni'delay kuvunja amri za Mungu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…