Sijui nimsaidieje

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
39,981
96,236
Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ''ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI TENA IPI NI YA NYANYA na IPI NI YA VITUNGUU!!!
.
.
NA PESA ZOTE ANAZO KAZISHIKA MKONONI,EBU NIAMBIE NIMFANYAJE??????
 
lol! chukua peni andika kwenye mia tano ya kwanza nyanya na ya pili vitunguu

Hawa watoto wa hizi siku ni wajinga sana mkuu....
Enzizetu tulikua tukitumwa, tuna kimbia huku tukiimba kwa kurudia vile tulivyo tumwa, na tulikua hatuchanganyi mikono
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom