Dsm niko peke yangu, na wakati naondoka nlikua bize sana. sikuweza hata kwenda kuaga home kwa wazee. Home kwetu ni mkoani. But mie naishi DSM.
Uko sahihi sana,Mkuu sijui ni usasa au ni utu wema sana, najaribu tu kufikiria unaanzia wapi kumkabidhi mpenzi kwa rafiki eti akuangalizie...
Ina maana huyo binti si mtu mzima awezaye kufanya maamuzi binafsi au?
Halafu wenzako waendao ughaibuni kitu kama funguo ya nyumba unaiacha nyumbani, unamuachia nduguyo yoyote kama ni kaka au dada.
Unajua nlikua nawaza nkimuachia huyu binti funguo inaweza kuleta tatizo coz hatuja fanya taratibu zozote mpaka sasa, So iwapo mtu wa familia yangu angekuja dsm na kukuta funguo ziko kwa binti sidhani kama ni picha nzuri.kwanza huyo msichana wako anaonekana ana upendo wa dhati na wewe na ni mtulivu, hongera kwa hilo, lakn kwa upande wa rafiki hapo huna rafiki ndug yangu na uombe ukute hizo hela ulizompatia awe kweli amefanya hicho ulichomwambia mana unaweza usikute chochote kimefanyika na hela hakuna sijui utalia na nani, bora hizo funguo ungemuachia huyo msichana
Dar sina ndugu,ni sawa!!.ina maana hapo karibu huna ndugu?!,watu wengne sio,hlf nimeshangaa kumruhusu mpnz wako atolewe na rafk cjui,aisee hapana hata kama ndo imani,.hapo imezidi mkaka.
Uko sahihi sana,
But binadamu tumeumbiwa mapungufu hua naita DARK PASSENGER, hii ndio my dark passenger, hua namwamini mtu kirahisi sana.
Unajua nlikua nawaza nkimuachia huyu binti funguo inaweza kuleta tatizo coz hatuja fanya taratibu zozote mpaka sasa, So iwapo mtu wa familia yangu angekuja dsm na kukuta funguo ziko kwa binti sidhani kama ni picha nzuri.
Kweli nlitakiwa niache kwa ndugu zangu, tatizo ni kwamba niko na dady na my twin, my twin ameolewa na anafanya maisha yake. yuko bize na familia yake kiufupi. Baba anakazi zake pia afu sikupata nafasi ya kwenda nyumbani kipindi naondoka tz.
Thanks mkuu.Basi maadamu umetambua basi tukio hilo na liwe mwalimu kwako ili wakati mwingine usijeingia tena mkenge...
Ni vizuri kuwaamini marafiki lakini imani hiyo na isivuke mipaka...
Urafiki ni imani inayotakiwa ku-balance..sasa kwangu haikuwa hivyo au labda ni shetani kamwingia rafiki yangu huyu but ni kama naota..huwezi kuamini kama ukimwona huyu mzee..na maneno yake ya busara. Kuna kipindi alikua bonge nkamlipia GYM nkampeleka then akaanza mazoezi. na huyu binti ndio kama akiwepo kwangu anatupikia pamoja. rafiki huyu huwa alikua anamsifia na kusema ana maadili mema na anashauri nimuoeanyway swala la funguo sio issue saana mana hata mimi mume wangu kabla hajanioa alikuwa mbali lakini ufunguo ulikuwa kwa rafiki yake japo na mimi nilikuwa na funguo lakini muhusika mkuu wa nyumba alikuwa rafiki yake, na kwa kweli alikuwa akija likizo anayoyakuta humo ndani ni balaa lakini alivumilia mpaka tukaoana, hapo tatizo kubwa ni hizo hela, hela ni shetani mpendwa hutenganisha hata ndugu, au hata mtu na mzazi wake, bora ungezitunza tu utakaporudi ungefanya mwenyewe hayo uliyopanga kufanya, na kuhusu ukaribu na msichana wako nakushauri mpigie simu huyo rafik yako na umweleze kwamba hujafurahishwa na kitu alichokifanya kwa msichana wako, hiyo atleast itamsaidia hata huyo dada kuona kwamba unajali
Utamwambiaje mwanaume mwenzako atoke na mpenzi wako??
Hukudhania kama kuna jambo lolote baya lingeweza kufanyika?
Mtu kuwa mwenye dini haina maana kuwa hawezi patwa na vishawishi,
Huyo Demu wako atakuwa amekushangaa sana wewe ni mtu wa aina gani,
Au ulikuwa unatafuta sababu ya kumwacha??
Hi, you guys..namaste...
Tuanzie hapa,
Usiku wa valentine, jamaa akamwita binti kwenye majira ya saa nne usiku, binti akaninipigi na kuweka simu hewani, nkamsikia jamaa. Jamaa akampabinti hela nyingi tu, then akamwambia achukue usafiri amfuate Mahali kwa ajili ya Dina, Binti akarudi kwao, nkamwambia aende yeye akakataa...asubuh ya pili baada ya valentine akakuta sms za rafiki akilaumu kwanini hajaenda.
Note that, Jamaa familia yake iko mkoa ana mke na watoto na binti ana age 21yrs...
So, nifanyeje wa JF?